Wewe ndio mwenye dini.. Mwenye Miungu mitatu. Mungu Baba. Mungu mwana na Mungu mtakatifu...
Nina swali kwako
Matanga which means pungu ani..
Nabii gani alipewa Kitabu cha Biblia?
Je Mungu Yesu aliwahi kutailiwa?
Naomba majibu
Jamaa amekosea kukashifu Imani ya wengine .msamehe
Ila naweza kukujibu maswali yako mawili
1. Miaka ya nyuma kabisa baada ya Yesu kuondoka,watu wa kipindi hiko hawakuwa na biblia Bali vitabu vyote vilikuwa vinajitegemea,mfano ukitaka kusoma kitabu cha Isaya au zaburi ilikuwa unapewa kitabu cha zaburi
Baadae kabisa(sina kumbukumbu ya mwaka) kanisa ndiyo likaamua kuvikusanya vitabu vyote na kuviweka pamoja kisha kuviita jina moja la THE BIBLE
Kingine kanisa ilifanya ni kupanga maandishi Kwa Aya ili uwe rahisi Kwa msomaji kusoma na kukariri
Mfn ukitaka kusoma kitabu cha Ezekiel mahali pameandikwa "niiite nami nitakuitikia,nami nitakuonyesha mambo makubwa,magumu usiyoyajua" unachokifanya ni kufungua bmBiblia na kutafuta Ezekiel Sura ya33 mstari wa 3 auYer 33:3 kifupi
2 Ndy alibatizwa..katika kitabu cha Injili ya Marko 1:9 tunasoma;"Ikawa siku zile Yesu alikuja kutoka Nazareti ya Galilaya akabatizwa na Yohana katika Yordani"
Pia soma Injili ya Luka 3:21
Na Mathayo 3:13_17[emoji116][emoji116][emoji116]
Sent from my CPH1923 using
JamiiForums mobile app