Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
- #21
Mkuu karibu mahakamaniAchana na Demu la gaidi Hilo .
USSR
Mkuu karibu mahakamaniAchana na Demu la gaidi Hilo .
USSR
ALLAH amjalie ustaadh Abubakar mbowe.Asante kwa taarifa, tunaomba ALLAH amjalie Mh: Mbowe atokane na uonevu huo. #MBOWE SI GAIDI!
Ushawahi kukamatwa na polisi kwa kwenda kwako tu mahakamani kama alivyokamatwa Suzan Kiwanga ?Mimi kila siku naenda mahakamani
USSR
Kama kawa, tupo na kamanda wetu, tutakuepo, MBOWE SIO GAIDIMwamba wa siasa za Tanzania usiotikisika , Laingwanan , Mtemi Isike ama Ustaadhi Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar , kesho anafikishwa tena Mahakamani kwa ajili ya kusikiliza kesi waliyomtungia ya Ugaidi...
Lilizani rais atalionea hurumaLifungwe kabisa kumbe liuaji eti linadai demokrasia
USSR
Umasikini wa akili na pesa ndio shida inayokusumbuaLilizani rais atalionea huruma
Mkuu utawapelekea mkate wa kila siku mezani wakijazana mahakamani? nenda mwenyewe na mkeo kwani ndio wanufaika wa gaidi, acheni watu wahangaike na maisha yao, hakuna Mbowe alichowasaidia wakati anatumbua maisha huko Dubai na Nairobi, kwenye raha hamuwakumbuki kwenye shida ndio mnawakumbuka, hamna tofauti na wasanii wetu ambao baada ya kutumbua halafu maisha yakianza kuwaendea kombo utawasikia wakitaka hisani kwa wananchi kwa kudai waliitangaza Tanzania!Mwamba wa siasa za Tanzania usiotikisika , Laingwanan , Mtemi Isike ama Ustaadhi Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar , kesho anafikishwa tena Mahakamani kwa ajili ya kusikiliza kesi waliyomtungia ya Ugaidi ...
Kwani kuhudhuria kesi ni kosa ?Mkuu utawapelekea mkate wa kila siku mezani wakijazana mahakamani? nenda mwenyewe na mkeo kwani ndio wanufaika wa gaidi, acheni watu wahangaike na maisha yao, hakuna Mbowe alichowasaidia wakati anatumbua maisha huko Dubai na Nairobi, kwenye raha hamuwakumbuki kwenye shida ndio mnawakumbuka, hamna tofauti na wasanii wetu ambao baada ya kutumbua halafu maisha yakianza kuwaendea kombo utawasikia wakitaka hisani kwa wananchi kwa kudai waliitangaza Tanzania!
Ndio maana tulitoa wito wa kuomba kesi ya Freeman Mbowe irushwe LIVE COVERAGE. Dunia ijionee mwenendo mzima utakavyokua. Ili kuepuka vitimbi vya POLISISIEMU.Kwani kuhudhuria kesi ni kosa ?
Hawana bando , umesahau siku ya kesi ya Mbowe kwa njia ya mtandao?Ndio maana tulitoa wito wa kuomba kesi ya Freeman Mbowe irushwe LIVE COVERAGE. Dunia ijionee mwenendo mzima utakavyokua. Ili kuepuka vitimbi vya POLISISIEMU...
Hapa ndipo mbowe alipokiua chama.Kama tunavyosherekea wagunduzi wa vitu mbalimbali na kuwapa tuzo, mfano akina Einstein, Tesla basi hapa Tanzania mnamo mwaka 2015 mara baada ya mzee wa nywele nyeupe kuwa mgombea wa chama fulani ambacho kilimtaja kwenye list of shame...
Chama kilichokufa kinaweza kupambana na polisi ?Hapa ndipo mbowe alipokiua chama.
Acha unaa Brother J, vipi leo tutakuwepo Kisutu na mabango yetu?Kwani ile timu nzima ambayo ikisikiaga Mbowe au Chadema inapagawa hadi hivi inasema je?
Watu wameshawachoka ndio mana majuzi mabango yalikua mengi kuliko wafuasi wa chademaMwamba wa siasa za Tanzania usiotikisika , Laingwanan , Mtemi Isike ama Ustaadhi Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar , kesho anafikishwa tena Mahakamani kwa ajili ya kusikiliza kesi waliyomtungia ya Ugaidi .
Natoa wito kwa wananchi wote na hususani ni wanachama wa Chadema kujitokeza kwa wingi kusikiliza kesi hiyo ya uongo hapo kesho , Kwa mujibu wa sheria za Tanzania haijawahi kuwa kosa kisheria kuhudhuria Mahakamani kwa usikilzaji wa kesi yoyote zaidi ya zile za faragha ambazo nyingi ni za ubakaji , ndio maana wanachama wote wa Chadema waliokamatwa kutokana na kadhia ya kesi hii wameachiwa bila masharti yoyote .
Binafsi nitakuwepo Mahakamani Mapema asubuhi ili kukuletea kila kinachojiri
Mungu ibariki Chadema
View attachment 1889889
Acha unaa Brother J, vipi leo tutakuwepo Kisutu na mabango yetu?
Majukumu mzee na mambo ya time zoneMtukufu rais kaiahidi dunia uhuru kamili ijionee yenyewe haki ikitendeka.
Wenzako na sisi tulikuwa na kilinge huku:
![]()
Mahasimu wa CHADEMA, Mbowe na Chanjo tukutane hapa
Baada ya kuchukua muda kufuatilia maoni na mitizamo ya wajumbe mbalimbali kiroho safi, nimejiridhisha pasi na shaka yoyote kuwa: "Pana wajumbe wenye kujawa na hasira kali isiyokuwa na maelekezo kuhusiana na Mh. Mbowe, Chadema, Chanjo za Corona na tahadhari zake." Wajumbe hao wakisikia moja...www.jamiiforums.com
Vipi umetususa?
Majukumu mzee na mambo ya time zone