kwa nini
1. Halfani Bwire
2. Adam Kasekwa
3. Mohamedi Lingwenye
walifungiwa pingu lakini Mbowe hakufungwa pingu?!
walipo kuwa mahakamani Mbowe aliruhusiwa kusalimiana na hata kukumbatiana na Jamaa zake, hao wengine hawakuruhusiwa kabisaa!!!
Tunaomba Jeshinletu la magereza na vyombo vyote vya ulinzi vifanye kazi zake kwa weledi bila kujali hadhi au uwezo wa mtu. sheria ni msumeno.
Mbowe ni mtuhumiwa kama walivyo wenzake hivyo utaratibu lazima uzingatiwe sawa bila kujali nani ni nani.