Mkuu hakuna kitu kigumu na kinachotesa Nafsi Kama kutoa HUKUMU ambayo siyo ya HAKI na ipo kinyume na HaKI uku ukijua ninachofanya siyo HAKI. hii hukumu inachelewa sababu Kuna watu wanataka batili iwe HAKI.Embu Waamue basi...Mtu kama Gaidi...Gaidi. .au kama sio Gaidi sio Gaidi...Ujue na sisi tunaosubiri Hatma tunachoka pia !
Amedhalilisha sana heshima ya ujaji katika jamii.Jaji wa hovyo kabisa kuwahi kutokea
Halafu wanamfunga kwa kipi sijui. Maelezo ya watuhumiwa wengine ndio kitu pekee wanachotaka kitumike lakini sasa ni wazi kuwa waliwatesa na kuwalazimisha kusaini.Ameonyesha waziwazi kuwa ameletwa ajili ya kumfunga Mbowe na hakuna kingine
Sasa napata shida kidogoKatika kesi ya ugaidi inayomkabili Mh Mbowe na wenzake watatu,leo Shahidi upande wa utetezi Ndg Lembrus Mchome mkaazi wa Wilaya ya Mwanga kaithibitishia Mahakama kwamba D/C Msemwa alikuwa akihudumu kituo cha police Oysterbay na si Central Police kama alivyodai wakati akitoa ushahidi wake kwamba alimpokea mshitakiwa Mohammed Ling’wenya.
Ndg Lembrus alikuwa akikabiliwa na kesi ya makosa ya mtandao.Pamoja na kutoa ushahidi wake mbele ya Jaji anayesikiliza kesi hiyo pia aliweza kuwasilisha nyaraka mbali mbali zenye kuunga mkono madai yake.
Kupitia ushahidi huu ambao mawakili wa Serekali hawakuutarajia kabisa ni wazi sasa madai ya washitakiwa Adamo na Ling’wenya kwamba hawakuwahi kufikishwa Central police hata mara moja badala yake walipelekwa Vituo vya Police TAZARA na Mbweni yatakuwa yamepata nguvu kubwa kweli kweli.
Kwa hiyo Mchome ndiye muajiri/bosi wa Msemwa. Au ktk kesi hiyo ya Mchome, Msemwa ndiye alikuwa mpelelezi wake? Yaani mchome amekuja na orodha ya askari walipangiwa kufanya kazi Oysterbay? Tusishangilie mwisho ukawa "kama ulimuona atakuwa alikuwa anapita tu kituochake ni Central"😇😇Katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mh Mbowe na wenzake watatu,leo Shahidi upande wa utetezi Ndg Lembrus Mchome mkaazi wa Wilaya ya Mwanga kaithibitishia Mahakama kwamba D/C Msemwa alikuwa akihudumu kituo cha police Oysterbay na si Central Police kama alivyodai wakati akitoa ushahidi wake kwamba alimpokea mshitakiwa Mohammed Ling’wenya.
Ndg Lembrus alikuwa akikabiliwa na kesi ya makosa ya mtandao.Pamoja na kutoa ushahidi wake mbele ya Jaji anayesikiliza kesi hiyo pia aliweza kuwasilisha nyaraka mbali mbali zenye kuunga mkono madai yake.
Kupitia ushahidi huu ambao mawakili wa Serekali hawakuutarajia kabisa ni wazi sasa madai ya washitakiwa Adamo na Ling’wenya kwamba hawakuwahi kufikishwa Central police hata mara moja badala yake walipelekwa Vituo vya Police TAZARA na Mbweni yatakuwa yamepata nguvu kubwa kweli kweli.
Hv mtu anatunga uongo kwa binadamu mwenzake ili apate nn ? Lkn malip hapa hapa dunian cku moja mh mbowe atakuwa huru na wenzakeKatika kesi ya ugaidi inayomkabili Mh Mbowe na wenzake watatu,leo Shahidi upande wa utetezi Ndg Lembrus Mchome mkaazi wa Wilaya ya Mwanga kaithibitishia Mahakama kwamba D/C Msemwa alikuwa akihudumu kituo cha police Oysterbay na si Central Police kama alivyodai wakati akitoa ushahidi wake kwamba alimpokea mshitakiwa Mohammed Ling’wenya.
Ndg Lembrus alikuwa akikabiliwa na kesi ya makosa ya mtandao.Pamoja na kutoa ushahidi wake mbele ya Jaji anayesikiliza kesi hiyo pia aliweza kuwasilisha nyaraka mbali mbali zenye kuunga mkono madai yake.
Kupitia ushahidi huu ambao mawakili wa Serekali hawakuutarajia kabisa ni wazi sasa madai ya washitakiwa Adamo na Ling’wenya kwamba hawakuwahi kufikishwa Central police hata mara moja badala yake walipelekwa Vituo vya Police TAZARA na Mbweni yatakuwa yamepata nguvu kubwa kweli kweli.
Kabisa kabisahata kumshughulikia kupigia waganga wa kienyeji inatosha mkuu
Mbowe anatia huruma. Amechoka na anaelekea kukata tamaa mapingamizi yanavyotupwa tupwa.Mkuu Retired unadhani yote hayo hajui/hawajui? Wanajua sana kutokana na yanayojadiliwa kwenye mitandao ya kijamii kwani wanaisoma, na siku hizi wanaifuatilia sana. Hata hao mawakili wa serikali hadi wanapiga simu kuuliza vijiwe vyao wanavyo nywea bia watu wanasemaje.
Shida ni kiburi na kujisahau. Lakini kulikuwa na wenye viburi, ubabe na dharau kama Sabaya au Bashite? Wana hali gani? Ni mashaka na hudhuni tuu mioyoni mwao. Jaji asijidanganye kuwa anaweza kutenda uovu akawa salama siku zote, hata Hagaya mwenyewe uovu hauwezi kum guarantee usalama maana tumeona wababe kabisa kama Albashir, Mubarak, Mugabe au Gaddafi wakitepeta.
Mtu mwema jamii itakupigania na katikati ya mateso uta tabasamu. Ona Mbowe alivyo sasa, hafichi uso akija mahakamani na anasalimia kwa bashasha na watu wanasimama kumpa heshima.
Sawa Jaji.Hakuna kesi hapo...
Katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mh Mbowe na wenzake watatu,leo Shahidi upande wa utetezi Ndg Lembrus Mchome mkaazi wa Wilaya ya Mwanga kaithibitishia Mahakama kwamba D/C Msemwa alikuwa akihudumu kituo cha police Oysterbay na si Central Police kama alivyodai wakati akitoa ushahidi wake kwamba alimpokea mshitakiwa Mohammed Ling’wenya.
Ndg Lembrus alikuwa akikabiliwa na kesi ya makosa ya mtandao.Pamoja na kutoa ushahidi wake mbele ya Jaji anayesikiliza kesi hiyo pia aliweza kuwasilisha nyaraka mbali mbali zenye kuunga mkono madai yake.
Kupitia ushahidi huu ambao mawakili wa Serekali hawakuutarajia kabisa ni wazi sasa madai ya washitakiwa Adamo na Ling’wenya kwamba hawakuwahi kufikishwa Central police hata mara moja badala yake walipelekwa Vituo vya Police TAZARA na Mbweni yatakuwa yamepata nguvu kubwa kweli kweli.
Sasa napata shida kidogo
DC Msemwa anadai alikuwa anafanyakazi Oysterbay Police lakini aliwapokea Lingwenya na wenzake.
Lingwenya na mwenzake wanasema walipelekwa Tazara Police na Mbweni.
Hebu tuwaze hapo, Oysterbay inahusikaje ambapo haijatajwa hata na washtakiwa
Mungu ibariki ChademaKatika kesi ya ugaidi inayomkabili Mh Mbowe na wenzake watatu,leo Shahidi upande wa utetezi Ndg Lembrus Mchome mkaazi wa Wilaya ya Mwanga kaithibitishia Mahakama kwamba D/C Msemwa alikuwa akihudumu kituo cha police Oysterbay na si Central Police kama alivyodai wakati akitoa ushahidi wake kwamba alimpokea mshitakiwa Mohammed Ling’wenya.