Kesi ya Ugaidi: Kingai na genge lake waumbuliwa

Sina imani kabisa na huyu Judge,kama anasikiliza serikali anajidanganya tuu hao watawala wanakuja na kuondoka tuu,asimamie haki la sivyo tutamkumbuka kama Judge la ovyo kabisa lisilo na maadili wala kufuata sheria, wekeni picha yake na CV yake tumjue
 
Mpaka sasa nashangaa sana bado kupekenyuliwa huyu...wapekenyuliwe na mawakili wa serikali...wote wnaonekana kama ni makada wa CCM
 
Kupitia ushahidi huu ambao mawakili wa Serekali hawakuutarajia kabisa ni wazi sasa madai ya washitakiwa Adamo na Ling’wenya kwamba hawakuwahi kufikishwa Central police hata mara moja badala yake walipelekwa Vituo vya Police TAZARA na Mbweni yatakuwa yamepata nguvu kubwa kweli kweli.[emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1533][emoji1545]
 
Mboni zao zimetiwa upofu na masikio yao yametiwa nta..hawasikii hawaoni
 
Mtu mwema jamii itakupigania na katikati ya mateso uta tabasamu. Ona Mbowe alivyo sasa, hafichi uso akija mahakamani na anasalimia kwa bashasha na watu wanasimama kumpa heshima[emoji1534][emoji1534][emoji1534]
 
Hii wanaisukuma mpaka Dec halafu wamuache Mwenyekiti magereza mpaka Feb2022. Mahakama Majaji huwa wanaenda likizo from Dec thru Feb. Hii ipo bongo tu sijui kwa nini?
 
"Ukiwa mwongo sharti uwe na kumbukumbu" Si yangu Ni ya Wahenga
 
Wewe ni nani kumtishia jaji?
 
Kufikishwa is one thing na kuwa magaidi is another thing. HIzo ni chrap propoganda za magaidi kijitanzua kwenye kitanzi. Miaka watakula na Mbowe will never be a president of this country (TZ). Akiwa raisi nitaomba ukimbizi China au Urussi.
 
Kufikishwa is one thing na kuwa magaidi is another thing. HIzo ni chrap propoganda za magaidi kijitanzua kwenye kitanzi. Miaka watakula na Mbowe will never be a president of this country (TZ). Akiwa raisi nitaomba ukimbizi China au Urussi.
Wenzako walisema hivyo hivyo huku wakikata viuno nakuimba CCM nambari wani leo wanajificha kwa aibu, ulaji umekwisha na wengine jela ndio nyumbani kwao
 
Ndiyo maana serikali inachukua failure kwenda police
 
Kikosi kazi cha police kilichoratibu mateso Kwa watanzania wenzao ni hawa Akina Kingai, Mahita, Goodluck, na Jumanne. Hawa watu ni lazima washughulikiwe wakiwa Hai au wakiwa wamekufa.
Magufuli alikuwa mbabe hasa. Alikuwa anajiamini kweli kweli. Alijiringanisha na jiwe. Yeye alijiita msema kweli. Alitaka watu wajue yeye ni mtu wa Mungu. Lkini alijaa chuki na visasi. Sasa Yuko wapi?? Ule ulinzi wake wote haukumsaidia asifariki.

Aliamini akijenga madaraja na kununua ndege Kwa cash, na kuwahubiri wajinga kwamba umasikini ni sifa. Basi hatokufa.

Je Kwa hayo yote hawa viongozi waliobaki hawajifunzi Jambo??
 
Hahahaha RPC anaajiriwa na Beuraau De Change? hivi pesa hawa huwa wanaziweka wapi? au sababu zina mikono ya damu?
 
Ni kikosi konachoaminika na kilipewa mamlaka yote
 
Yaani wakati mwingine unabaki unashangaa,kwasababu maovu yote waliyotenda yawatafuna hadi watoto wao.
Neno la Mungu liko wazi. Huwatafuna hadi kizazi cha nne. Tujitahidi iwezekanavyo tuishi kwa wema. Tutawaletea laana watoto wetu huko mbele.
 
Ukatili au uwongo ni vitu vibaya sana hasa hasa kumkwanza mwenzako. Hi laana huwa inajificha sana lakini lazima iumbue nyakati zinavyokwenda.

Hili neno uwongo na laana vinasuta dhamira sana. Msemwa jitafakari uepuke hi laana. Huu upupu utakwenda nao kizazi hata kizazi. Na happy inaweza kuwa ndiyo mwisho wa kizazi Chako kusonga mbele. Jenga familia ambayo haitawekewa kinyongo mbeleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…