Kesi ya Ugaidi: Kingai na genge lake waumbuliwa

Hiyo mioyo ya kusikia Maonyo wanayo?
 
Kuandika script ya kesi kubwa kama hii unajitaji akili ya ziada, sasa kimeumana.
 
The same day, shahidi anaonekana pande mbili yupo Dar Central Police akishughulika na Lingwenya na O'bay Police akishughulika na Mchome - Kimeumana 🤣🤣🤣
😅😅😅😅
 
Hongera kwa matumaini uliyojipa- ila jiulize kama walipelekwa Tazara kwa nini wasingizie central
 
La 'kubumba' halina ubani. Litasambaratika vilevile kama zilivyo kazi nyingine za kishetani. AMEN
 
Hahahaha RPC anaajiriwa na Beuraau De Change? hivi pesa hawa huwa wanaziweka wapi? au sababu zina mikono ya damu?
Ogopa sana pesa ya dhulma. Kuna mmoja hapa TANGA alikuwaga RTO Basi pesa ikawa inaingia tu, watu wapate ajali almradi yeye apewe pesa, wenye haki barabarani wanyimwe haki almradi rto apate pesa. Akajenga bar na gesti (biashara zao Ni hizi za kuchuma dhambi) Mara, kastaafu, bar ikakosa wateja, gesti ikakosa wateja hata bodaboda wakaistukia. Sasa hivi choka mbaya, isitoshe dialysis wiki Mara tatu, kisukari na presha juu.
Hakuna wa kumpigia saluti Wala wa kumletea hesabu. Wenye malori na mabasi waliokua wanatoa mgao kila mwezi ili magari yao yasikamatwe wamemblok kwenye simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…