Kesi ya Ugaidi yazidi kufichua Mazito. Shahidi aulizwa kuhusu utekaji wa Ben Sanane, Magoti na shambulio la Lissu

Again mkuu unazidi kujionyesha ni jinsi gani ulivyo katili na bado unaingia nyumba za ibada,muda sio mrefu upepo utageuka na utaonyeshwa ni jinsi gani upendo na ithamini wa utu wa mwanadamu ulivyo bora .
Asante sana mkuu
 
Mkuu JF kama kawaida imekuletea updates za kesi ya Ugaidi , Enjoy !
 
Kwa mbungi alilopiga Kibatala leo🔥🔥🔥...hakuna kesi pale ya ugaidi. Ningekuwa mimi ni jaji, leoleo ningefuta hii kesi
 
Wanasema kwamba acha mvua inyeshe ili tuone panapovuja , Kumbuka miongoni mwa wahudhuriaji wakubwa wa kesi hii ni TITTO MAGOTI
Kwanini Kibatala asimuumbue Jumanne kwa kumleta Titto Magoti aje atoe ushahidi kueleza alivyoteswa na Jumanne?
 
Hujaona uzi humu ndani na kule Twitter page ya Martin mkuu?? Yaani huyo Shahid amekula kibano hatari... Anajuuta kuwafahamu Malya na Kibatala...
 
Tito Magoti anawajua waliotumwa kumteka.Na kilichomuokoa tito ni kutokula chakula cha nje cha kuletewa hiki ni rahisi sana hawa watoa kafara kukuwekea sumu,kama una uadui na wahuni na wakakuweka mahabusu kula chakula cha wafungwa wote hiki ni ngumu kuwekewa sumu utakuwa salama ukila tu cha nje kama Wana nia ovu umekwenda,ila ashukuriwe Mungu tuko salama baada ya shetani kupigwa minyororo milele asiumize tena. kiongozi
Yeyeto atakaewaumiza watz hakika atakufa haya ni maagano.
 
Wewe masikini subiri ulipwe elfu 7 ukanunue chips kavu , huna ulijualo kapuku we !!
 
The entire hidden picture will eventually unfold. "Haya; acha episode iendelee.
 
Kwenye heading maelezo hayafanani na maelezo yaliyofuatia!

Wametajwa na nani...
Hujui kitu kapuku we ! mkiwa chawa wa watekaji basi mnashabikia kila uchafu , wanafiki wakubwa nyie !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…