Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Ogopa sana karma mkuuWasiojulikana wameanza kujulikana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ogopa sana karma mkuuWasiojulikana wameanza kujulikana
Huyo ni mmojawapo wa wasiyo julikana kijakazi wa jiweHalafu dogo mbna umepandisha mashetani????
Asante sana mkuuAgain mkuu unazidi kujionyesha ni jinsi gani ulivyo katili na bado unaingia nyumba za ibada,muda sio mrefu upepo utageuka na utaonyeshwa ni jinsi gani upendo na ithamini wa utu wa mwanadamu ulivyo bora .
Mjaa laana huyo achana nae.Tutolee ujinga wako hapa. Jadili mada.
Mkuu JF kama kawaida imekuletea updates za kesi ya Ugaidi , Enjoy !Mkuu Erythrocyte mbona mmeacha kutupasha moja kwa moja yanayoendelea mahakamani? Mmechoka? Mwenyekiti anayelala jela hajachoka, nyie mnaolala nyumbani na wake zenu mnachokaje?
Hii kesi ilikuwa inaamsha hisia za watu na kuelimisha elimu ya uraia na sheria. Endeleeni kuleta habari moja kwa moja.
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !Hakuna Siri wote walioshiriki dhuluma watawekwa wazi
Mkuu 30% ya Kiswahili chenyewe ni Ki-ArabAllah ndo Nani!! Tutolee hapa majina ya waarabu leta ya kiswahili. Mbona unakuwa slave hivyo
Kwa mbungi alilopiga Kibatala leo🔥🔥🔥...hakuna kesi pale ya ugaidi. Ningekuwa mimi ni jaji, leoleo ningefuta hii kesiHaya yote yamesemwa jana na mawakili wa Utetezi wakati wa cross examination , ambapo walimhusisha SP JUMANNE na kutekwa kwa Erick Kabendera, Titto Magoti, Ben Saanane na kwamba alihusika na Shambulio la Lissu.
Shahidi SP JUMANNE alihojiwa pia kuhusu Uhusiano wake na Paulo Makonda.
MUHIMU: Kuna haja ya watanzania kumfahamu zaidi shahidi huyu muhimu kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu
Kwanini Kibatala asimuumbue Jumanne kwa kumleta Titto Magoti aje atoe ushahidi kueleza alivyoteswa na Jumanne?Wanasema kwamba acha mvua inyeshe ili tuone panapovuja , Kumbuka miongoni mwa wahudhuriaji wakubwa wa kesi hii ni TITTO MAGOTI
Na kuusoma utopolo ni utopolo squared...Heading imenifanya nikimbilie kufungua uzi haraka ila ulichoandika ndani ni utopolo
Hujaona uzi humu ndani na kule Twitter page ya Martin mkuu?? Yaani huyo Shahid amekula kibano hatari... Anajuuta kuwafahamu Malya na Kibatala...Mkuu Erythrocyte mbona mmeacha kutupasha moja kwa moja yanayoendelea mahakamani? Mmechoka? Mwenyekiti anayelala jela hajachoka, nyie mnaolala nyumbani na wake zenu mnachokaje?
Hii kesi ilikuwa inaamsha hisia za watu na kuelimisha elimu ya uraia na sheria. Endeleeni kuleta habari moja kwa moja.
hilo linakuja huko mbeleKwanini Kibatala asimuumbue Jumanne kwa kumleta Titto Magoti aje atoe ushahidi kueleza alivyoteswa na Jumanne?
Wewe masikini subiri ulipwe elfu 7 ukanunue chips kavu , huna ulijualo kapuku we !!Kwa hiyo wakili wa upande wa utetezi akisema alihusika na matukio hayo, basi wote bila kuhusisha vizuri halmashauri za vichwa vyetu tukubalie tu na kushangilia kama mazuzu, kisa tu katekenya masikio yetu na story tunazozipenda, hata kama ni za kubumba tu.
WaTanzania wa sasa hatuko hivyo, tukidanganyika ujue tumeamua, lkn haimaanishi kwamba hatujui ukweli.
The entire hidden picture will eventually unfold. "Haya; acha episode iendelee.Haya yote yamesemwa jana na mawakili wa Utetezi wakati wa cross examination , ambapo walimhusisha SP JUMANNE na kutekwa kwa Erick Kabendera, Titto Magoti, Ben Saanane na kwamba alihusika na Shambulio la Lissu.
Shahidi SP JUMANNE alihojiwa pia kuhusu Uhusiano wake na Paulo Makonda.
MUHIMU: Kuna haja ya watanzania kumfahamu zaidi shahidi huyu muhimu kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu
Hujui kitu kapuku we ! mkiwa chawa wa watekaji basi mnashabikia kila uchafu , wanafiki wakubwa nyie !Kwenye heading maelezo hayafanani na maelezo yaliyofuatia!
Wametajwa na nani...
AiseeeeMungu upigana na maadui zetu na hakika amewashinda.
Wote waliotaka upinzani ufe wamekufa wao kisiasa.