Kesi ya Ugaidi yazidi kufichua Mazito. Shahidi aulizwa kuhusu utekaji wa Ben Sanane, Magoti na shambulio la Lissu

Kesi ya Ugaidi yazidi kufichua Mazito. Shahidi aulizwa kuhusu utekaji wa Ben Sanane, Magoti na shambulio la Lissu

Haya yote yamesemwa jana na mawakili wa Utetezi wakati wa cross examination , ambapo walimhusisha SP JUMANNE na kutekwa kwa Erick Kabendera, Titto Magoti, Ben Saanane na kwamba alihusika na Shambulio la Lissu...
Mkuu jitahidi uboreshe uandishi wako habari zako zinakuwaga shalo sanaa
 
Mboe na genge lake la kihalifu wanapaswa wajifunze kuwa Amani ya nchi huwa haichezewi.
utashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.
Amani ya nchi yetu ndio kila kitu.
 
Mkuu jitahidi uboreshe uandishi wako habari zako zinakuwaga shalo sanaa
Husika na kichwa cha Habari pale juu , humu hatuandiki barua za kuomba kazi , hatuna haja ya kurembaremba , wengine wote waelewe kasoro wewe tu , ulizaliwa njiti ?
 
Mboe na genge lake la kihalifu wanapaswa wajifunze kuwa Amani ya nchi huwa haichezewi.
utashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.
Amani ya nchi yetu ndio kila kitu.
wewe ni wa kuhurumiwa tu .
 
Husika na kichwa cha Habari pale juu , humu hatuandiki barua za kuomba kazi , hatuna haja ya kurembaremba , wengine wote waelewe kasoro wewe tu , ulizaliwa njiti ?
Sikuwa na nia mbaya kuukuukiza mkuu, wewe ni moja ya watu ninaowaheshimi sana
 
Kwa iyo kwa maandishi haya ina maana na Sisi wenye ID fake tutajulikana. Mbona unatutisha sasa

Kuna jamaa yangu alinitonya kuwa eti JF manjagu walishaidukua hivyo wanawajua wote wenye fake IDs humu!!! Sijui alikuwa ananitisha; lakini hatukati tamaa ALUTA CONTINUA!!!
 
Uwe na desturi ya kuheshimu wanacho amini wengine kwasababu hata unacho amini wewe hakuna kilipo halalishiwa ulimwengu mzima zaid ya kujihalalishia mwenyewe
Usimjibu huyo shetani hayo ndiyo matekaji Ilion's yalikataza Hadi dua na maombi?
 
Haya yote yamesemwa jana na mawakili wa Utetezi wakati wa cross examination , ambapo walimhusisha SP JUMANNE na kutekwa kwa Erick Kabendera, Titto Magoti, Ben Saanane na kwamba alihusika na Shambulio la Lissu.

Shahidi SP JUMANNE alihojiwa pia kuhusu Uhusiano wake na Paulo Makonda.

MUHIMU: Kuna haja ya watanzania kumfahamu zaidi shahidi huyu muhimu kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu
Ngoja nikapitie yaliyojiri jana. Kumbe tayari wasiojulikana wanajulikana.

Leo Kibatala kaamua kutema cheche kamtaja Jumanne
 
Back
Top Bottom