This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
, 1.Magufuli 2.Makonda 3.Sabaya 4.Msiba 5.Jumanne(askari) 6.Bashiru 7.Polepole 8.Madelu 9..........
Jazia genge la wasiojulikana.
Jazia genge la wasiojulikana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sana !, 1.Magufuli 2.Makonda 3.Sabaya 4.Msiba 5.Jumanne(askari) 6.Bashiru 7.Polepole 8.Madelu 9..........
Jazia genge la wasiojulikana.
Mkuu jitahidi uboreshe uandishi wako habari zako zinakuwaga shalo sanaaHaya yote yamesemwa jana na mawakili wa Utetezi wakati wa cross examination , ambapo walimhusisha SP JUMANNE na kutekwa kwa Erick Kabendera, Titto Magoti, Ben Saanane na kwamba alihusika na Shambulio la Lissu...
[emoji1][emoji1] kafue chupi ya ChongoroMboe na genge lake la kihalifu wanapaswa wajifunze kuwa Amani ya nchi huwa haichezewi.
utashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.
Amani ya nchi yetu ndio kila kitu.
Husika na kichwa cha Habari pale juu , humu hatuandiki barua za kuomba kazi , hatuna haja ya kurembaremba , wengine wote waelewe kasoro wewe tu , ulizaliwa njiti ?Mkuu jitahidi uboreshe uandishi wako habari zako zinakuwaga shalo sanaa
wewe ni wa kuhurumiwa tu .Mboe na genge lake la kihalifu wanapaswa wajifunze kuwa Amani ya nchi huwa haichezewi.
utashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.
Amani ya nchi yetu ndio kila kitu.
Sikuwa na nia mbaya kuukuukiza mkuu, wewe ni moja ya watu ninaowaheshimi sanaHusika na kichwa cha Habari pale juu , humu hatuandiki barua za kuomba kazi , hatuna haja ya kurembaremba , wengine wote waelewe kasoro wewe tu , ulizaliwa njiti ?
Tito Magoti ni nani?Very soon kama taifa tutapata uhuru
Ni mtanzania mjita mfanyakazi wa kituo cha Haki za binadamuTito Magoti ni nani?
Thank you,Ni mtanzania mjita mfanyakazi wa kituo cha Haki za binadamu
Kwa iyo kwa maandishi haya ina maana na Sisi wenye ID fake tutajulikana. Mbona unatutisha sasa
Kabisa kabisaThank you,
Nilifikiri team wasiojulikana.Kumbe ni mwana wa Mungu
🤣🤣🤣[emoji1][emoji1] kafue chupi ya Chongoro
Utamjua tu ukishatupiwa chepe kadhaa za mchanga 6 feet under..Allah ndo Nani!! Tutolee hapa majina ya waarabu leta ya kiswahili. Mbona unakuwa slave hivyo
Usimjibu huyo shetani hayo ndiyo matekaji Ilion's yalikataza Hadi dua na maombi?Uwe na desturi ya kuheshimu wanacho amini wengine kwasababu hata unacho amini wewe hakuna kilipo halalishiwa ulimwengu mzima zaid ya kujihalalishia mwenyewe
Allah ni Mungu wa makafiri wa Makka rejea Quran 8:34.Allah ndo Nani!! Tutolee hapa majina ya waarabu leta ya kiswahili. Mbona unakuwa slave hivyo
Ngoja nikapitie yaliyojiri jana. Kumbe tayari wasiojulikana wanajulikana.Haya yote yamesemwa jana na mawakili wa Utetezi wakati wa cross examination , ambapo walimhusisha SP JUMANNE na kutekwa kwa Erick Kabendera, Titto Magoti, Ben Saanane na kwamba alihusika na Shambulio la Lissu.
Shahidi SP JUMANNE alihojiwa pia kuhusu Uhusiano wake na Paulo Makonda.
MUHIMU: Kuna haja ya watanzania kumfahamu zaidi shahidi huyu muhimu kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu
Akina Kibatala ni zaidi ya Majasusi.Wanasema kwamba acha mvua inyeshe ili tuone panapovuja , Kumbuka miongoni mwa wahudhuriaji wakubwa wa kesi hii ni TITTO MAGOTI
Leo katajwa pia. Yule jamaa leo usingizi hapati.Kama haukufuatilia jana wakati akihojiwa utaona ni utopolo, hata hivyo leo ataendelea kuhojiwa.