carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
The only institution iliyosimama against haya madudu catholic churchWanafikiri matumizi ya dola ndio yatawafanya watu warudi nyuma.
Wajiulize wame- archive nini kwenye kuteka na kuua.
Halafu ndio Lema anataka kutuambia hawa ndio watu wakuwa handled kwa busara!
Kanisa Katoliki Mungu awabariki sana.
atavuna alichopandaChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa kesi ya uhaini inayomkabili Mkurugenzi wake wa Oganaizesheni, Mafunzo na Uchaguzi, John Pambalu, inatarajiwa kutajwa kesho, Jumatano, Novemba 4, 2026, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, saa 3:00 asubuhi, mbele ya Hakimu Mkazi Mashasha.
Katika taarifa iliyotolewa leo, imesema kesi hiyo ni ya pili ya uhaini inayomkabili kiongozi wa chama hicho. Aidha, imedai kuwa kufunguliwa kwa kesi hiyo ni mwendelezo wa matumizi mabaya ya Sheria ya Uhaini yanayokandamiza demokrasia na uhuru wa kujieleza nchini.
CHADEMA imetoa wito kwa viongozi, wanachama, wadau wa haki na demokrasia pamoja na wananchi kwa ujumla kufika mahakamani kufuatilia mwenendo wa shauri hilo, ikieleza kuwa hatua hiyo ni muhimu kama ilivyofanyika katika mashauri mengine yanayogusa haki na misingi ya demokrasia nchini.
Soma Pia: John Pambalu ashtakiwa kwa UHAINI
catholic wako nyuma ya haya watafikiwa tu, kwasasa hao waliokimbia mmoja baada ya mwingine, nchi hii ya utawala wa sheria.The only institution iliyosimama against haya madudu catholic church
si wanaropokaga bila kutumia akili,kwani hata osama kilichomcost si ni mdomo tu,,yule khamein kilichomcost ni mdomo tu,,LOOSE MOUTHS CAN SINK SHIPSDah;
Ila sasa kinchoendela hapa Naanza kuelewa kwa nini Lema alisema kwamba Jumba Bovu litwaangukia watu wengi sana.
Kila siku maisha yetu ni kama JELA kwa umombo psyche prisonSasa Makamanda nawapa home work, muulizeni John Pambalu anapenda zitumike 4R au atakomaa jela mpaka haki ishinde?
Maana vijana wengi hamuijui jela.
Hivi siku akishika nchi mpinzani,akaanza kulipa kisasi!Mtalaumu kweli?Sasa Makamanda nawapa home work, muulizeni John Pambalu anapenda zitumike 4R au atakomaa jela mpaka haki ishinde?
Maana vijana wengi hamuijui jela.
Kasikilize nyimbo ya kina Ndanda Cosovo kichaa na Fm Academia (Prison) ili angalau ujuwe jela ni nini maana unadhani jela ni mchezo wa kuigiza.Kila siku maisha yetu ni kama JELA kwa umombo psyche prison
Mkuu, JELA UNAZOEA TU binadamu kaumbwa hivyo.Kasikilize nyimbo ya kina Ndanda Cosovo kichaa na Fm Academia (Prison) ili angalau ujuwe jela ni nini maana unadhani jela ni mchezo wa kuigiza.
Wewe uko hapa siku nyingi ni lini mimi nimewahi kusimama upande wa wauwaji maccm?Hivi siku akishika nchi mpinzani,akaanza kulipa kisasi!Mtalaumu kweli?
Maana matamshi ambayo yameshatolewa na makada wa CCM ni makali ambayo yangetamkwa na upinzani basi ingehesabiwa ni Ugaidi!
Nchi hii hakuna haki bila kumwaga damu!