GE2025 Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu yaahirishwa hadi Julai 15 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nilisoma mahali kwamba kesi zake na za Chadema sasa zitapata usaidizi kutoka kwenye kampuni ya Kimataifa ya Sheria Amsterdam & Co ni kweli?
Hakuna ajabu yoyote maana hata miradi yote mikubwa ndani ya nchi hii inafanywa na makampuni ya kimataifa.
 
Wewe una viashiria vya udini mkali na ugaidi.
 
Sasa kama mahakama(Hakimu) hana mamlaka ya kumuamuru DPP kufuta mashtaka au kumtaka kupeleka mashtaka mahakama kuu licha ya hoja za mshtakiwa kuwa backup na sheria then what come next!?..Tuseme wakikutana tena na mawakili wa Serikali wakaleta ombi hilohilo then shauri litasomwa miaka dahari!!!?...Sasa n nn kaz yake huyo HAKIMU hapo!?Yupo kama bendera ama!!!Tuna nchi yenye viraka sana yaani
 
Sema inatakiwa tuone aibu sisi mkuu mtu anasema alikua ana patrol mtandaoni si hatari sana hiyo na analipwa kabisa mpunga kila mwisho wa mwezi aisee..
 
Wamwachie tu aendelee na maisha ya uraiani
 
CCM imeinama ikiwa haina hata kipande cha nguo,kisha anaonekana mtu akivaa gloves kama za surgeon huku anazikoleza mafuta sijui nini kinataka kutokea hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…