Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Hapa ndio kuna kila kitu.baada ya kuieleza Mahakama kuwa jalada la kesi hiyo lipo kwa DPP analipitia kisha atatoa taarifa kuhusu upelelezi ulipofikia na kama kesi hiyo iende Mahakama Kuu au hapana
Mkuu watu wanjipigia pesa kupitia hii michongo.Sheria za Tz ni za wajinga wasio na kazi za kufanya
Kama ambavyo hii itaisha na zingine zinaisha. TL na Chadema wamekuwa na complex cases for many years none of them never stopped the movementsAtaachiwa. Huku nje washabanwa na kesi shughuli ya NRNE imekwama. Washindani wao hawana cha kuhofia.
Kumbe walikuwa wanamhofia,,si Samia anapendwa Sasa anamhofia niniAtaachiwa. Huku nje washabanwa na kesi shughuli ya NRNE imekwama. Washindani wao hawana cha kuhofia.
Samia miaka mitano ataishia humu Burundi, Madagascar na Msumbiji,Ulaya na Marekani hakanyagiKama ambavyo hii itaisha na zingine zinaisha. TL na Chadema wamekuwa na complex cases for many years none of them never stopped the movements
Juhudi za mfa maji, ni kutapa tapaAtaachiwa. Huku nje washabanwa na kesi shughuli ya NRNE imekwama. Washindani wao hawana cha kuhofia.
Bila reforms mkuu?
Kama itatokea hivyo basi kweli wewe ni mtu wa mfumo🤣🤣🤣🤣
Usisisahau kwa Wajomba zake alikouza mali za Tanganyika.Samia miaka mitano ataishia humu Burundi, Madagascar na Msumbiji,Ulaya na Marekani hakanyagi
Kwani mtangulizi wake alikanyaga ulaya na marekani?Samia miaka mitano ataishia humu Burundi, Madagascar na Msumbiji,Ulaya na Marekani hakanyagi
NdioNi kweli ataachiliwa leo?
Tabasamu na kushawishi watanzania wote wasome sheriaNachopenda kila akionekana mahakamani anaonekana akiwa na Afya njema,mwenye kujiamini na jasiri.
magu hakuenda huko usa na ulaya nini kilibadilikaSamia miaka mitano ataishia humu Burundi, Madagascar na Msumbiji,Ulaya na Marekani hakanyagi