Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Alikosa pesa za ku run nchi,five years hakuajiri can you imagine? Five years alishindwa ata kuongeza jero Kwa watumishi can you imagine? Alilazimika kukopa commercial loans yenye rate kubwa Ili kujenga miradi maana Ulaya na America wasingemkopesha , Kwa kujitenga na dunia akafyekwa na Corona 😁magu hakuenda huko usa na ulaya nini kilibadilika
wengi wanajidai hawayajui haya.Alikosa pesa za ku run nchi,five years hakuajiri can you imagine? Five years alishindwa ata kuongeza jero Kwa watumishi can you imagine? Alilazimika kukopa commercial loans yenye rate kubwa Ili kujenga miradi maana Ulaya na America wasingemkopesha , Kwa kujitenga na dunia akafyekwa na Corona 😁
Hawezi kuachiwa na hii system dhalimuNi kweli ataachiliwa leo?
Hawezi kumwachia mpk uchaguzi upiteKombora la Trump mpaka sasa wanafikiria namna ya Kumwachia.......Kibano cha Trump.na EU kipo pale pale!!!
Anauza mali za wajinga za kwao Zanzibar zipoUsisisahau kwa Wajomba zake alikouza mali za Tanganyika.
Moyo ulimsumbua ndege ilimpa shida kusafiri na ndege masaa 10 alikuwa haweziKwani mtangulizi wake alikanyaga ulaya na marekani?
Wasidizi wake waliendamagu hakuenda huko usa na ulaya nini kilibadilika
🤣Usikute DPP kaenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge. Atakuwepo kweli?
Nasikia online TV hazitoi sauti ahanhahaLeo nahisi watamfutia kosa la uhaini abaki na kesi nyingine
Na atapata dhamana
Mahakama wamesema kesi ikianza sauti inakujaNasikia online TV hazitoi sauti ahanhaha
Ikotokea katiwa hatiani mtasema mahakama imeingiliwa. Jaji kapewa maelekezo.Mimi nataka hii kitu iende mpaka kwenye usikilizwaji ili DPP aaibike. Kutakuwa na la kujifunza kesi hii ikisikilizwa, itakuja kutumika kama rejea huko mbele, hasa pale DPP anapotumika kutesa watu.
DPP ametumika kumtesa Lissu ili badae aje aachane na kesi.
Kuna sheria inakataza mtuhumiwa kuwekwa pamoja na waliohukumiwa kunyongwa!?Kwahiyo ukiwa unajiamini alafu ukatendewa kinyume na haki unatakiwa ukae kimya kisa tu unajiamini?
Amepata fundisho.Siasa za kukinukisha hazina nafasi Tz.Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu inatarajiwa kutajwa leo Julai 1, 2025 kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Juni 16, 2025 Kesi hiyo iliahirishwa kutokana na Mawakili wa Serikali, kupitia Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga kuomba ahirisho baada ya kuieleza Mahakama kuwa jalada la kesi hiyo lipo kwa DPP analipitia kisha atatoa taarifa kuhusu upelelezi ulipofikia na kama kesi hiyo iende Mahakama Kuu au hapana.
Ikumbukwe katika shauri hilo ambalo limekuwa likitajwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Lissu alitangaza kujitetea mwenyewe akidai kuwa hakuwa hakuna mazingira rafiki ambayo yalikuwa yamemuwezesha kukutana na Mawakili wake ambao walikuwa wakienda Gerezani.
Hata hivyo hivi karibuni ilitolewa taarifa kuwa Lissu amepata fursa ya kuonana na Mawakili wake akiwa Gerezani.
Tundu lissu afikishwa mahakami Dar Es Salaam kwa ajili kesi ya Uhaini inayomhusu
Hivi ndivyo Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu alivyofikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam kwa ajili kesi ya Uhaini inayomhusu, wakili peter Peter Kibatala naye afika mahakani hapo akiwa na makamu mwenyekiti CHADEMA John Heche
Makamu Mwenyekiti CHADEMA Mhe. John Heche akiteta jambo na Mhe. John Mnyika ndani ya ukumbi wa Mahakama ya Kisutu.
View attachment 3390099
Tundu Lissu amegoma kesi kuahirishwa kwa mara nyingine kutokana na sababu za kutokukamilika kwa upelelezi kitu ambacho amekiita ni uzembe
Amen.Lissu ataachiwa huru ila waliomkamata watakamatwa