Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu amefanya majumuisho ya mwisho Mahakamani 23/9/2026

Nimesoma icho kipart mwanzoni kabisa mahakama inafunguliwa ikabidi nicheke aisee.

Sijui jaji aliuliza makusudi sijui nae ni anakuwa hajui😀
Jaji yuko sahihi. Ni kazi ya wakili kutaja sheria (vifungu) then jaji anakuambia whether you are right or not. Hii ndio maana halisi ya mahakama kutafsiri sheria! Understand.
 
NB: Wao wamepoteza muda mwaka mzima kwenye hii, leo inawauma Lissu kufanya final submission hadi kesho na siku yote ikakamilika?

Hii final submission oendelee, kesi hii inahusu uhai wa mtu hivyo majaji na kina Katuga wasilie kuwa muda muda wamwache Tundu Lissu atetee uhai wake kwa final submission hata ikiwa kwa siku 5 mfululizo
 
Wakuu please naomba mwenye upadates za tarehe 24 na 25 anitag tafdhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…