Pole kwa kuchelewa,nadhani huyu nilimpleka bin wa kwanza kabisaI ignore you from today. You are very disgusting
Pole kwa kuchelewa,nadhani huyu nilimpleka bin wa kwanza kabisaI ignore you from today. You are very disgusting
MemberLema amekatwa mkia - Magufuli's voice.
Kiufupi hapo majaji kazi wanayo kufanya rejea ya hizo kesi mwamba kaambatanisha,yaani jamaa kazisoma zote!Jamaa kashuka si mchezo... Mtu na yupo lupango ila anatoa data zaidi ya majaji na mawakili wote wa serikali combined.
Kina Katuga watakuja na zao za tunamuachia Mungu
Nimesoma icho kipart mwanzoni kabisa mahakama inafunguliwa ikabidi nicheke aisee.Mwanzo tu jaji kauliza nani ataanza kuwasilisha,Lissu katoa muongozo kupitia kifungu😂.
Ina maana refa hakujua hichi kifungu na kuelekeza fulani aanze kwa kuzingatia utaratibu /kifungu hicho?
70% alikua hajui😂...Lissu akaona amalize na kifungu ili mambo yasiwe mengi.Nimesoma icho kipart mwanzoni kabisa mahakama inafunguliwa ikabidi nicheke aisee.
Sijui jaji aliuliza makusudi sijui nae ni anakuwa hajui😀
Ila tuwe wakweli tuu, huyu mwamba hata hawa jamaa akina nyerere na wapigajia uhuru na haki tuliowahi kuwasoma katika historia kwa lisu hawasogei aiseeKiufupi hapo majaji kazi wanayo kufanya rejea ya hizo kesi mwamba kaambatanisha,yaani jamaa kazisoma zote!
Jf HAINA SEHEMU YA WATOA HUDUMA KWA WATEJA?
Extra smart!Aise sio kuijua sheria tu,jamaa kichwa ni maziwa na asali tupu huwezi kuandaa haya na kichwa cha kuunga unga,tena uandae lupango.
This man is very very smart 🫡
Kama ni pamoja na haya ya kuwa Mahakamani live sawaMajukumu yetu unayajua?
Alijua yeye kuwa Mubaashara haizuii watu kuendelea na majukumu yao mana hakuwa na wafuatiliaji kiviiileIla akawa analazimisha yeye kuonekana kila mara mubashara.
Mkuu huwezi ukaanzisha uzi wakati bado Mahakama haijakaa, wanachokifanya hawa Mods ni upuuzi mtupu. Kama updates nitakuwa naziweka kwenye uzi wa TUNDU LISSU SPECIAL THREADMkuu
Manyanza kesho anzisha uzi saa 11 alfajiri baada ya swala hawa wapuuzi wakizingua BAN nitaipata.
Yeap wazo zuri sana. Ikibidi saa sita kamili juu ya alama afungue uzi wa updatesMkuu
Manyanza kesho anzisha uzi saa 11 alfajiri baada ya swala hawa wapuuzi wakizingua BAN nitaipata.
Nonsense Nonsensena mimi ndio nakujuza sasa,
porojo zako unaweza kuwababaisha wafuata mkumbo wenzako pekee,
na kabisa siwezi kumbeza wala kumdhihaki lisu au mdau mwingine yoyote wa JF,
licha ya uhalifu na chuki zake useless dhidi ya katiba ya nchi, amani, umoja na usalama wa waTanzania wote.
hakuna namna kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anaweza kuachwa akijaribu kuharibu ustaarabu wa kikatiba wa taifa letu.
aende akawapambanie wale wa jinsia moja waliomchumbia huko anakosaidiwa kuhudumia familia yake, na nonsense zake akazifanyie hukohuko kwa waliomtuma kuvuruga utamaduni wa kitanzania na kudhalilisha vijana wa kitanzania![]()
Shukrani kaka ikawe kheri kwetu sote kesho.Mkuu huwezi ukaanzisha uzi wakati bado Mahakama haijakaa, wanachokifanya hawa Mods ni upuuzi mtupu. Kama updates nitakuwa naziweka kwenye uzi wa TUNDU LISSU SPECIAL THREAD