Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu amefanya majumuisho ya mwisho Mahakamani 23/9/2026

Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu amefanya majumuisho ya mwisho Mahakamani 23/9/2026

Alijua yeye kuwa Mubaashara haizuii watu kuendelea na majukumu yao mana hakuwa na wafuatiliaji kiviiile
Alikuwa anajua hana wafuatiliaji, lakini alitegemea kwa kufanya hivyo atapata wafuatiliaji. inshort alikuwa na wivu wa kisiasa, alitaka akubalike yeye tu. Kwa bahati mbaya mapenzi hayalazimishwi. Na kwa kuujua ukweli huo ndio maana akawa anapora chaguzi waziwazi ili ionekane ccm chini yake imekubalika na wananchi.

Huyu mama kichwa nazi naye akaiga kila udhaifu wa Magufuli, kwa bahati mbaya akakutana na watu wameshachoka kura zao kuchezewa, 29 October akakutana. nacho.
 
Kwa maslahi ya wengi, ukiturushia hapa nyuzi hata tatu za huyu ndugu yetu kuwekwa lupango na kukaa siku kadhaa na kisha kutoka, utasaidia sana kuondoa hii sintofahamu.
Tarehe 27 Machi 2018, Mnyika pamoja na viongozi wengine wa CHADEMA akiwemo Freeman Mbowe, Vincent Mashinji, Salum Mwalimu, Peter Msigwa na Esther Matiko walifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Mashtaka yalihusisha mambo kama uchochezi (sedition), mkusanyiko usio halali na makosa yaliyohusishwa na maandamano ya Februari 2018. Baada ya kufikishwa mahakamani, baadhi yao akiwemo Mnyika walipelekwa Segerea rumande wakati taratibu za dhamana zikiendelea.
Kesi hiyo iliendelea kwa takribani miaka miwili. 10 Machi 2020, Mahakama ya Kisutu ilitoa hukumu. The Citizen iliripoti kwamba Mnyika alikuwa miongoni mwa washtakiwa waliopatikana na hatia katika baadhi ya makosa na akaamriwa kulipa faini ya Sh milioni 30. Washtakiwa tisa kwa ujumla walipatikana na hatia katika baadhi ya mashtaka yaliyokuwa mbele ya mahakama.
 
Mimi sio mshirikina na Wala siamini kwenye ushirikina ila ninachokuambia usimfanyie dhihaka mtu anayeonewa itakuridia pia. Ni ushauri tu. Wenzako mpaka wanaomba msamaha na kuondoka JF Ina maana wamejutia makosa yao. Wewe una ona Raha kumdhihaki Lissu kwa kupost hiyo picha, ukiulizwa Lissu alikukosena nini huna cha kujibu.

Mtu anayetupambania tupate Sheria Bora za uchaguzi wewe unamdhihaki Tena kwa personality yake sio hata kwa hoja. Usimcheke anayedhulimiwa nakusihi sana.
Huyo ni mjinga na wamo wengi humu. Hawajitambui ujinga wa kilumumba umewajaa vichwani mwao.
 
The Citizen iliripoti kwamba Mnyika alikuwa miongoni mwa washtakiwa waliopatikana na hatia katika baadhi ya makosa na akaamriwa kulipa faini ya Sh milioni 30.
Asante sana Mkuu kwa taarifa hii muhimu. Sasa tuendelee na mjadala.
 
Asante sana Mkuu kwa taarifa hii muhimu. Sasa tuendelee na mjadala.

  • 11 Agosti 2024 – Mbeya: John Mnyika, akiwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, alikamatwa pamoja na Tundu Lissu, Joseph Mbilinyi (Sugu) na viongozi/wafuasi wengine kabla ya shughuli za BAVICHA za Siku ya Vijana Duniani. Reuters ilithibitisha kukamatwa kwa Mnyika na Lissu, huku taarifa nyingine zikisema viongozi hao walizuiliwa na baadaye kuachiwa.
  • Baada ya tukio hilo, Mnyika mwenyewe alinukuliwa akisema walizuiliwa bila kufunguliwa mashtaka na akatoa madai kwamba walipigwa licha ya kutopinga kukamatwa. Hayo ni madai ya Mnyika/CHADEMA; polisi walikanusha baadhi ya madai ya matumizi ya nguvu na ukiukwaji yaliyohusishwa na tukio hilo.
  • 24 Aprili 2025 – Dar es Salaam: Mnyika alikamatwa tena akiwa njiani kwenda Mahakama ya Kisutu kufuatilia kesi ya Tundu Lissu. The Citizen iliripoti kwamba alikamatwa karibu na eneo la Fire, Dar es Salaam. Reuters pia iliripoti kuzuiliwa kwa Mnyika na John Heche siku hiyo; sababu ya kuzuiliwa kwao haikuwa imeelezwa wazi wakati taarifa hiyo ilipotolewa.
 
Mnaolalamikia mods mnalalamika kitu gani? Mbona uzi una updates zote za kesi kuanzia mwanzo mpaka mwisho?. Ni mara ngapi mnaanzisha nyuzi na wengine za kwetu zinaunganishwa kwenu?. Haiwezekani kila mtu akawa na uzi wake kwenye jambo moja. Ukiona uzi wako umeunganishwa wewe changia tu kama wengine wanavyochangia kwenye uzi wako. Haiwezekani unasusa kuchangia uzi wa mwenz
 
Yes, update ilikuwa inafanyika kwenye post ya kwanza kabisa ya uzi.
 
Mnaolalamikia mods mnalalamika kitu gani? Mbona uzi una updates zote za kesi kuanzia mwanzo mpaka mwisho?. Ni mara ngapi mnaanzisha nyuzi na wengine za kwetu zinaunganishwa kwenu?. Haiwezekani kila mtu akawa na uzi wake kwenye jambo moja. Ukiona uzi wako umeunganishwa wewe changia tu kama wengine wanavyochangia kwenye uzi wako. Haiwezekani unasusa kuchangia uzi wa mwenz
Manyanza ana kitu kinaitwa “Kupenda sifa na likes” hapo alitaka like nyingi na aonekane platinum msomi..!! 😹😹😹
 
Back
Top Bottom