Ila sio kwenye Mahakama LiveKwenye Bunge Live nilimuunga mkono.
Ila sio kwenye Mahakama LiveKwenye Bunge Live nilimuunga mkono.
Kwamba na wewe ni walewale😁 unataka uthibitishe kama ni staff mwenzako?Nipe id yake
Mimi sio mshirikina na Wala siamini kwenye ushirikina ila ninachokuambia usimfanyie dhihaka mtu anayeonewa itakuridia pia. Ni ushauri tu. Wenzako mpaka wanaomba msamaha na kuondoka JF Ina maana wamejutia makosa yao. Wewe una ona Raha kumdhihaki Lissu kwa kupost hiyo picha, ukiulizwa Lissu alikukosena nini huna cha kujibu.Gentleman,
hata kama wewe ni mchawi namana gani, peleka ramli zako kwa wachawi na waganagw wenzako useless huko gentleman,
hakuna nyumbu wala mfuata mkumbo yeyeote yule anaweza kunibabaisha kwa ushirikina wake useless jukwaani au nje ya jukwaa.
In fact,
mimi sio wa kubabaika na vitu nonsense kama hivyo gentleman whether unanijua au kunifahamu![]()
Kwa kosa lipi?Kuna uwezekano mkubwa Lissu akaozea gerezani.
🐒Tumekusikia haya KAKAZWE
😅😅 hadi umeamua ucheke boss, sema wanazinguaaa bhana, watu tupo active kupata infoYameunganisha tena 🤣🤣🤣
Siandiki tena
Mahakama live ni temporary issue inaisha tarehe 28 September 2026 ila Bunge lipo kwa miaka mitano.Ila sio kwenye Mahakama Live
Hahahaha awa washapewa chaoooHahivi hawa mods wamekula vitu gani leo? Moderator nyie mnani leo jameni?
na mimi ndio nakujuza sasa,Mimi sio mshirikina na Wala siamini kwenye ushirikina ila ninachokuambia usimfanyie dhihaka mtu anayeonewa itakuridia pia. Ni ushauri tu. Wenzako mpaka wanaomba msamaha na kuondoka JF Ina maana wamejutia makosa yao. Wewe una ona Raha kumdhihaki Lissu kwa kupost hiyo picha, ukiulizwa Lissu alikukosena nini huna cha kujibu.
Mtu anayetupambania tupate Sheria Bora za uchaguzi wewe unamdhihaki Tena kwa personality yake sio hata kwa hoja. Usimcheke anayedhulimiwa nakusihi sana.

Usipost 📌Wanataka mpaka humu JamiiForums tuishi kama mtaani , sipost updates zozote
I ignore you from today. You are very disgustingna mimi ndio nakujuza sasa,
porojo zako unaweza kuwababaisha wafuata mkumbo wenzako pekee,
na kabisa siwezi kumbeza wala kumdhihaki lisu au mdau mwingine yoyote wa JF,
licha ya uhalifu na chuki zake useless dhidi ya katiba ya nchi, amani, umoja na usalama wa waTanzania wote.
hakuna namna kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anaweza kuachwa akijaribu kuharibu ustaarabu wa kikatiba wa taifa letu.
aende akawapambanie wale wa jinsia moja waliomchumbia huko anakosaidiwa kuhudumia familia yake, na nonsense zake akazifanyie hukohuko kwa waliomtuma kuvuruga utamaduni wa kitanzania na kudhalilisha vijana wa kitanzania![]()
You are disgustingok,
reduce nonsense mayhem plz gentleman![]()
Adui tunaye mmudu hakuna kumuachia MunguWee mbona ulivyopota yutiayi kwenye mwenge hujaoza? 😹
calm down gentleman,You are disgusting

Gentleman,I ignore you from today. You are very disgusting
