Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 22,269
- 58,563
Nimeshaweka msimamo halafu kuna Mod ananifuata PM anachokiandika hata hakieleweki sijui wanajichukulia wapo ni waelevu sana au ?😅Usipost 📌
Moderator humu sijui wanajiona vipi yaani 😅😅
Nimefungua uzi wangu jamii intelligence wameutupia chit chat mpaka unajiuliza huyu Moderator amesoma akaelewa au ndio elimu mbali mbali mwenzangu na mimi🤣🤣🤣
Kwa kifupi hawatuheshimu wateja wao sijui leo wamekula nini ?
Ile kauli mbiu ya Where we dare to talk openly imekanyagwa live leo 😂