Kwenye huu uzi wasituguse kabisaa, watuachee na uzi wetu. Hatutakii upuuzi wao hapa.Hawa Mods wasitake kutufanya kama tupo kwenye utawala wa CCM, watuheshimu aisee, sisi ndio tunaoleta kazi na wao wanapata kazi
ok.🐒SEHEMU YA 6.
Waheshimiwa Majaji, hizi Kanuni 3 ni za Uhaini.
Kanuni ya Kwanza ni kuhusu Uchapishaji — Publication under Section 39(2).
Means the act of sending out or sharing or printing.
Haina maana ya kitu kingine chochote zaidi ya hii. Picha na video siyo publication.
Ipo katika kesi ya Grey Kungu Mataka and Others Vs Republic (1971), Vol. 1 EA 4795, ipo katika pages 5 to 10.
Kuchapisha maana yake ni kubadilishana makaratasi.
Waheshimiwa Majaji, Kanuni ya Pili kuhusu Uhaini:
Inasema hivi: A conviction on a charge of treason requires a proof of covert act or deed.
Inasema inahitaji kuthibitishwa kwa kitendo cha wazi na siyo maneno.
Ipo katika kesi ya Khatibu Ghandi na Wenzake Vs Republic (1996) TLR 12, page 12.
Kanuni ya Tatu na ya mwisho inayohusu Uhaini inahusu maneno.
Inasema maneno matupu hayatengenezi kitendo cha wazi katika kesi ya Uhaini, isipokuwa kama hayo maneno yanaelezea matendo ya Uhaini.
Ipo katika Khatibu Ghandi, page 65.
Na ya mwisho inahusu maneno vilevile:
The position that, as a general rule, words do not constitute covert act or deed applies to treason to individual persons.
Khatibu Ghandi, page 67.
Kwa maneno mengine, maneno ya mtu mmoja aliyeshitakiwa peke yake hayawezi kuwa Uhaini.
Waheshimiwa Majaji, hizo ni Kanuni 3 ziwaongoze katika ushahidi wa kesi hii.
Naomba sasa, kwa ruhusa yenu, nianze kujiongoza katika maswali ambayo niliyaendeleza.
Nifanye analysis ya ushahidi sasa.
Nianze na: Je, mshtakiwa ndiye aliyeitisha mkutano wa tarehe 03 April 2025?
Swala la nani aliyeitisha huo mkutano.
Waheshimiwa Majaji, kwenye ukurasa wa 131 wa rekodi, imedaiwa na upande wa Mashitaka kwamba mnamo tarehe 03 April 2025, kwa nafasi yangu kama Mwenyekiti wa CHADEMA, niliitisha mkutano wa watia nia wa uchaguzi wa 2025.
Waheshimiwa Majaji, kwanza, kwa nini hii issue ni muhimu?
Kwa nini swala la nani aliyeitisha mkutano ni muhimu kwenye kesi hii?
Waheshimiwa Majaji, kwenye Kifungu cha 49 cha Kanuni ya Adhabu:
Kinasema: Kila kitendo kinachofanyika ili kuwezesha lengo la kutenda kosa kinahesabika kuwa ni tendo la wazi linalothibitisha kutenda hiyo nia.
Kuitisha mkutano maana yake ni kwamba watakuja kusema that is a covert act — ni kuthibitisha nia yake ya kutenda Uhaini.
Nimeanzisha uzi na kuweka updates zote, watuheshimu Wateja wao wasijiamulie mambo aiseeMods miyeyusho Manyanza yupo very active kwenye hii series.. wanatulazimishia kina DJ Lufufu na picha azo za kihindi!!! Tumekataa... Sema Usisuse mkaliwade, watakao umia ni nyasi.
HajasusaWamsusia nani sasa!
ok.🐒Kwenye huu uzi wasituguse kabisaa, watuachee na uzi wetu. Hatutakii upuuzi wao hapa.
ok.Lissu mwaga 🔥🔥 baba, kuijua sheria raha sana, anatiririka tu.
Pita hapaWe ungeendelea ukizingatia tupo mwishoni hao ungeacha nao maana Mashabiki zako tupo wengi watu wachache wasikufanye ukoseshe ya wengine wengi kukosa taarifa
Uzi umeshawekwa kule kwingine.Waufukweni halafu kesho ujipendekeze tena, unajua unakera sana pamoja na hao Moderator wenzako
Pita hapaHajasusa
Pita hapaWeka Manyanza,tumekuchagua wengi!
Clips anatoa Jambo TV. Wewe umeona anatoa updates? Mwambie atoe Sasa Uzi si wa kwake.Kumbe hayupo Mahakamani!
Kwa hiyo ht clips alizotuwekea sio za Mahakamani leo?
Yameunganisha tena 🤣🤣🤣Uzi umeshawekwa kule kwingine.
Unachuma dhambi itakayo kutesa wewe na kizazi chakook.🐒
Shukrani sana mkuu.Tusubiri tuone, ila kuna mdau kawasiliana na moderator kwa njia ya simu, kasema watasolve ndani ya dakika chache zijazo.
Kuna watu wamezaliwa kukera watu wengine. Sijui analengo ganiAnaanzisha saa mbili,Hata mahakama,hawajakaa!
Hivi hawa wametumwaa?? Khaah? Upuuzi gani huu.Yameunganisha tena 🤣🤣🤣
Siandiki tena
OkPita hapa
Angalizo : JamiiForums huu uzi wangu usiunganishwe na uzi wowote, hiyo tabia inakera wateja wenu na maoni ya Wateja wenu yanasomeka kwamba wanavutiwa na uwasilishaji wangu wa updates.
Nawasihi mtuhehimu wateja wenu , msiwe mnajiamulia mambo ambayo wateja wenu hawayataki.
TUNDU LISSU ANAFANYA MAJUMUISHO YA MWISHO MAHAKAMANI.
SEHEMU YA 1
WAHESHIMIWA MAJAJI,
Nipo hapa kuwaonyesha kwamba hilo jambo haliwezekani.
Waheshimiwa Majaji, nilikamatwa katika mji wa Mbinga, Mkoa wa Ruvuma, jioni ya siku ya tarehe 9 Aprili 2025.
Nilichukuliwa nikiwa ninazungumza katika mkutano halali wa...
- Manyanza
![]()
- kesi lissu majumuisho tundu tundu lissu uhai
- Replies: 12
- Forum: Jukwaa la Siasa