AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,122
- 5,319
Ngoja niwachek hawa mamods kwanza
Daaah wee Mlongo, sasa mie ntaweka hapa ntaweza?Kimwakaleli , updates zote zipo kwa cocastic
Mkuu ni sahihi mods wamekua kama wamevurugwa hivi lakini ni muhimu sana kupata update zako kwasababuNilianziaha uzi mwingine kuweka majumuisho ya Lissu tu, nashangaa wameunganisha tena. Sitaki kuweka tena update, hawaheshimu wateja wao hawa
Au wameajiri teeth ccmHawajielewi hawa staffs wapya. Wameunganisha nyuzi zangu mbili, mlongo siweki tena uzi mpya mimi. Update nitakutumia whatsapp 🤣
Achana nao Mlongo mimi siweki update yoyote leo. Adabu na heshima kwa wateja wao hawana. Nitakurushia zote whatsappDaaah wee Mlongo, sasa mie ntaweka hapa ntaweza?
Nakuomba azisha uzi mwingine hawawezi kuunga kwa sasa, niamini mie.
Nitaweka jioni baada ya mahakamaMkuu ni sahihi mods wamekua kama wamevurugwa hivi lakini ni muhimu sana kupata update zako kwasababu
1. Tumeshazoea uandishi wako.
2. Mpangilio/muendelezo wa update ulikua unauweka vizuri.
3. Hata nikiwa busy najua nitapitia profile yako na kufika Kisutu directly.
Mwisho nikupongeze kwa kutupeleka Kisutu Kila siku ambayo ndugu yetu LISSU alikuwepo pale, umefanya vyema na vizuri kutuhabarisha na kwa niaba ya wanaJF nikuombe umalizie kutupa majumuisho maana sisi wengine hatusikilizi redio wala kuangalia tv.
Daah waonee huruma na hawa wengine, nakuomba anzisha uzi mwingine halafu zitupie zote kwa p1.Achana nao Mlongo mimi siweki update yoyote leo. Adabu na heshima kwa wateja wao hawana. Nitakurushia zote whatsapp
Kabisaa, afanye kuweka kwenye uzi mwingine. Aanzishe tu mpya.Mkuu ni sahihi mods wamekua kama wamevurugwa hivi lakini ni muhimu sana kupata update zako kwasababu
1. Tumeshazoea uandishi wako.
2. Mpangilio/muendelezo wa update ulikua unauweka vizuri.
3. Hata nikiwa busy najua nitapitia profile yako na kufika Kisutu directly.
Mwisho nikupongeze kwa kutupeleka Kisutu Kila siku ambayo ndugu yetu LISSU alikuwepo pale, umefanya vyema na vizuri kutuhabarisha na kwa niaba ya wanaJF nikuombe umalizie kutupa majumuisho maana sisi wengine hatusikilizi redio wala kuangalia tv.
Sawa acha. Nenda kafanye kazi zingine. Au huna kazi za kufanya!t
Tuwekeze Manyanza please,Hawa watakuwa wanufaika wa Jamhuri,tupe update washindwe wao.Kimwakaleli , updates zote zipo kwa cocastic
Tatizo Wadau hawampiganii huyu wamekaa tu, ilitakiwa tupambane hadi modes wateme bungo na kuachia uzi wake ujitegemee. AaahT
Tuwekeze Manyanza please,Hawa watakuwa wanufaika wa Jamhuri,tupe update washindwe wao.
Hakuna ushahidi wa Zacharia Hans Pope kushika bunduki. Hakuna.Ameanza na submission ya kibabe sana
Kama ni gari, ameanza na gia kubwa
Ngoja tuendelee kujifunza kwamba ni kwa vipi maneno tupu yakafanya uasi
Marehemu Zakaria Hanspope na wenzake walishika bunduki kutaka kumwondoa Mwalimu
Huyu yeye anahukumiwa kwa maneno matupu
Lengo likiwa kujaribu kuwaondoa watu ambao wanadhani ni hatari kwao kutawala
Pia angetumia heading tofauti kabisa. Wakiunganisha na huo bhasi mods nao tutawaweka kundi Moja na Katuga + Kingai 😂Kabisaa, afanye kuweka kwenye uzi mwingine. Aanzishe tu mpya.
Uwapigie mkuuJf HAINA SEHEMU YA WATOA HUDUMA KWA WATEJA?