Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu amefanya majumuisho ya mwisho Mahakamani 23/9/2026

Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu amefanya majumuisho ya mwisho Mahakamani 23/9/2026

Sio haki. Mtu anaamka na kuanzisha Live update yupo chumbani na demu wake halafu anategemea Manyanza aliyopo eneo la tukio ndio atoe updates. Huo ni unyonyaji wa kijinga
Kumbe hayupo Mahakamani!
Kwa hiyo ht clips alizotuwekea sio za Mahakamani leo?
 

Attachments

  • IMG_6157.jpeg
    IMG_6157.jpeg
    56.6 KB · Views: 9
We ungeendelea ukizingatia tupo mwishoni hao ungeacha nao maana Mashabiki zako tupo wengi watu wachache wasikufanye ukoseshe ya wengine wengi kukosa taarifa
Lissu ana mwaga nondo huko balaa, jaji ndunguru anabaki kuuliza "hivi case ya Khatibu Ghandi ilikua ya uhaini? Anajibiwa yess ila ilikua tofauti na hii, na vitu kadhaa kwenye hii ilikosa nini sijui, sasa mkiweka mtafanya iwe precedent, jaji anakuna kichwa huko.
😂😂 kumewakaa hatariii.
 
Back
Top Bottom