Hujajibu...Kapost wewe, kwani umezuiwa?
Hujajibu...Kapost wewe, kwani umezuiwa?
Maneno ya Lissu ya kukumbukwa vizazi vingi vijavyo.Mnano Tarehe 08/09/2025 niliiambia Mahakama hii kwamba kesi hii itaamua kama kwa sheria za Nchi hii inawezekana kwa kiongozi wa Kisiasa au kwa mtu mwingine yeyote anaweza kuhukumiwa kifo kwa makosa ya kisiasa.
Hapungukiwi kitu. Ila hataki na hajisikii.Hujajibu...
Safi.Hata ikiwa mwaka!
Ahaa!Hapungukiwi kitu. Ila hataki na hajisikii.
Hataki nyuzi zake kuunganishwa, anataka zikae kwa upekee, hivyo tu.Ahaa!
Basi sawa.
Nlidhani labda kuna contents zitapunguzwa akipost kule
Umri unavyokwenda mwili unashindwa kuchakata chakula, hivyo mabaki yananennpesha.Wote wamenenepa unamkunbuka John Mnyika wa mwaka 2005 ?
OkHataki nyuzi zake kuunganishwa, anataka zikae kwa upekee, hivyo tu.
Sasa shahidi Heche kwanini ichelewe?Baada ya Nondo za Komoni Wethi Case imeenda haraka Sana ndani ya mwezi mmoja Tu imeisha
23 September 2026Today, September 23, 2026, Tundu Lissu has said that on April 10, 2025 the charge sheet that was read before the Kisutu Resident Magistrate's Court, in Dar es Salaam, had two criminal offences which are: the treason charge under section 39 (2) (d) of the penal code, and the other one for Cyber Crime Act section 16 , a person commits an offense if they publish data or information (via text, picture, symbol, or any other form) in a computer system...
But today 23 September 2026 while defending himself on his final submission, Tundu Lissu said that the case which was brought to the high court, before the panel of 3 high court judges is ... charge sheet from DPP dated 12 August 2025 ...
Source : Uhuru Media online* *In January 1983, a group of 29 military officers and civilians were arrested and charged with attempting to overthrow the Tanzanian government. The first appellant, Hatibu Gandhi (popularly known as Captain Hatty McGhee or Macghee), was identified as one of the primary orchestrators of the plot.
Hata iwe mwaka. Uonevu una mwishoMiezi mitatu ya kusubiria hukumu kutolewa.
ngoja nicheke nje ya jukwaa 🐒
Patam kweliPatamu
Mshatakiwa. LissuUpande upi unaanza ku submit?
Sawa Kwa Akili Yako!Safi.
Akipiga mwaka serikali nao mwaka majajij nao mwaka atakuwa kakomaa kuliko hata Mandela
Kaa kimya chawa weweleo anaweza kufikisha kurasa mia moja kweli katika elfu moja alizo nazo, za maelezo yake ya siku zake za mwisho?🐒