Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu amefanya majumuisho ya mwisho Mahakamani 23/9/2026

Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu amefanya majumuisho ya mwisho Mahakamani 23/9/2026

Ameanza na submission ya kibabe sana

Kama ni gari, ameanza na gia kubwa

Ngoja tuendelee kujifunza kwamba ni kwa vipi maneno tupu yakafanya uasi

Marehemu Zakaria Hanspope na wenzake walishika bunduki kutaka kumwondoa Mwalimu

Huyu yeye anahukumiwa kwa maneno matupu

Lengo likiwa kujaribu kuwaondoa watu ambao wanadhani ni hatari kwao kutawala
 
Moderators, Manyanza hataki uzi wake muunganishe na mwingine, ndio maana hatoi updates leo kwa wakati.
Mnakera sana, em muachieni uzi wake ujitegemee.

Mnafanya tunakosa vitu muhimu leo, aah.
Moderators nao wanaonekana kama wana wivu au chuki fulani hivi. Kwani ni sheria kuwa mtu hawezi kufungua threads mbili tofauti zenye kitu kimoja?
 
Moderators Wana boa sana. Mtu amefungua live updates halafu hayupo eneo la tukio wanamwachia, ila aliyepo eneo la tukio wanamfungia na kutaka aungane nana huyu tapeli ambaye yupo zake na demu chumbani. Bongo Kila kitu ni corrupt. Haya Sasa Kaeni na ma live update yenu yasiyo na uhalisia.
 
Wanaona tunafaidi sana. Roho mbaya za kitanganyika tu
 
Back
Top Bottom