Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 22,269
- 58,563
Yaani wanakera kinoma sijui wapoje ?
JamiiForums musiwe mnajiamulia mambo mnakera sana aisee.
Yaani wanakera kinoma sijui wapoje ?
Wanaboa mno, mtu kakataa uzi wake hataki kuunganishwa hawasikii wala kuelewa.Mods wanakera sana.
Haswaa!! Watuachie mtu wetu anatuletea updates kwa wakati na uhakika.Mods,mpeni Manyanza Haki yake,Tumemchagua wenyewe Toka Mwanzo!
Halafu hawasikii wala kuelewa, sijui Mello anawaokota wapi hawa watu.Yaani wanakera kinoma sijui wapoje ?
JamiiForums musiwe mnajiamulia mambo mnakera sana aisee.
Yaani wanakeraa sanaa hawa wapuuzi.Moderators Wana boa sana. Mtu amefungua live updates halafu hayupo eneo la tukio wanamwachia, ila aliyepo eneo la tukio wanamfungia na kutaka aungane nana huyu tapeli ambaye yupo zake na demu chumbani. Bongo Kila kitu ni corrupt. Haya Sasa Kaeni na ma live update yenu yasiyo na uhalisia.
Nashindwa hata kuweka updates wameshaunganisha nyuzi zangu mara mbili, siweki tena 😂😂😂Haswaa!! Watuachie mtu wetu anatuletea updates kwa wakati na uhakika.
Wanakera sana hawa.
Huwa nashangaa sana, afu cha ajabu sasa hao wanaowahi kuweka uzi, wanapotea wala hawapo mahakamani, sijui wanapata nini yaani.Moderators nao wanaonekana kama wana wivu au chuki fulani hivi. Kwani ni sheria kuwa mtu hawezi kufungua threads mbili tofauti zenye kitu kimoja?
Mkuu huyu Tembo umemla kote, usikubali mkia ukushinde..Nashindwa hata kuweka updates wameshaunganisha nyuzi zangu mara mbili, siweki tena 😂😂😂
Hapana anzisha mwingine mlongo wakiunga na huo, nawajia na uzi wa kuwasuuza na kuwaosha toka mello hadi wafanyakazi wake uchwara..Nashindwa hata kuweka updates wameshaunganisha nyuzi zangu mara mbili, siweki tena 😂😂😂
Nakuomba azisha mwingine, km wakiunga wallah leo watajutaa.Ni vichefuchefu hawaheshimu wateja wao 🤣
Nilianziaha uzi mwingine kuweka majumuisho ya Lissu tu, nashangaa wameunganisha tena. Sitaki kuweka tena update, hawaheshimu wateja wao hawaHapana anzisha mwingine mlongo wakiunga na huo, nawajia na uzi wa kuwasuuza na kuwaosha toka mello hadi wafanyakazi wake uchwara..
Hatuwaogopi wala nini. Mxxxiiieeew zao hawa.
Tuwaambie modes wautoe uzi wa manyaza hapa, ujitegemee.Hadi sasa hakuna updates kutokana mahakamani 🙌
Hawajielewi hawa staffs wapya. Wameunganisha nyuzi zangu mbili, mlongo siweki tena uzi mpya mimi. Update nitakutumia whatsapp 🤣Nakuomba azisha mwingine, km wakiunga wallah leo watajutaa.
Nakuapia.
Nitumie tu tsup huko, hakuna namna sasa, aaaah.Hawajielewi hawa staffs wapya. Wameunganisha nyuzi zangu mbili, mlongo siweki tena uzi mpya mimi. Update nitakutumia whatsapp 🤣
Linda mgongo wako hali ni mbayaleo anaweza kufikisha kurasa mia moja kweli katika elfu moja alizo nazo, za maelezo yake ya siku zake za mwisho?🐒
Huenda huyu Waufukweni ni moderator...siweki tena update, hawa mods sio wastaarabu kabisa
Safi mkuu,Nilianziaha uzi mwingine kuweka majumuisho ya Lissu tu, nashangaa wameunganisha tena. Sitaki kuweka tena update, hawaheshimu wateja wao hawa