LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Hata uwe malaika huwezi fanya uhaini peke yako. Lucifer mwenyewe maandiko yanasema alikua pamoja na theluthi ya malaika wakiamsha popo mbinguni kumpindua Sir GodAcha kutupanga, hakuna mhaini mtu mmoja,kwani ni malaika!?