LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Hata uwe malaika huwezi fanya uhaini peke yako. Lucifer mwenyewe maandiko yanasema alikua pamoja na theluthi ya malaika wakiamsha popo mbinguni kumpindua Sir GodAcha kutupanga, hakuna mhaini mtu mmoja,kwani ni malaika!?
Ni kweli, shetani alipanga kumwangusha Mungu na jopo la malaika alilolishawishiHata uwe malaika huwezi fanya uhaini peke yako. Lucifer mwenyewe maandiko yanasema alikua pamoja na theluthi ya malaika wakiamsha popo mbinguni kumpindua Sir God
Vipi kuhusu suala la ushahidi wa Raisi na jopo lake mahakama limekubali?Wakiingia huko na hii akaipata Lissu hawatoki
Haijajulikana badoVipi kuhusu suala la ushahidi wa Raisi na jopo lake mahakama limekubali?
Wanaogopa kwenda Mahakamani, kule wao ni wahalifu kuliko TALHaijajulikana bado
Sasa ndio uone uhaini na mapinduzi ya kufanywa na mtu mmoja leo hii bongoNi kweli, shetani alipanga kumwangusha Mungu na jopo la malaika alilolishawishi
Haya ni mapyaSasa ndio uone uhaini na mapinduzi ya kufanywa na mtu mmoja leo hii bongo