Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu kuhitimisha ushahidi Mkuu leo, Agosti 26, 2026 Mahakamani

Mbona kama wakili amepanic sasa hahaha au sio majibu aliyoyategemea
 
Angeseme tu Shemeji
paleka MOTO washaanza
kutifuana maini
Na Heche
angejibu sawa Shemeji

Mbona kama wanazunguka
zunguka sana🫎🤠🤠🤠

Kwahiyo tlaatlaah kwakuwa jamaa kakuweka Ignore List umeamua kuibukia na ID yako nyingne na Hoja nyingine.

Inaelekea unapenda sana wanyama, ile unamaliziaga na Ngedere na hii Swala.
 
Nassoro Katuga: Kwa hiyo Waarabu waliingia kama wakoloni kwa kutumia viongozi wenye tamaa?

Lissu: Waarabu hawakuwa wakoloni, walikuja kama wafanyabiashara.

Nassoro Katuga: Kwa hiyo unakubali kwamba waliingia mikataba?

Lissu: Ndiyo, kama wanavyoingia mikataba kina Samia leo. Hawakuingia na watu wa chini huku.

Hahahahaha.
Hiii cross mawakili wa seriakli bora wangeachana nayo tuuu dah 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…