Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 22,269
- 58,563
TUNDU LISSU ANAULIZWA MASWALI YA DODOSO MAHAKAMANI
Lissu: Kwanza kwa kuhamasisha wananchi kutumia njia za kidemokrasia.
Nassoro Katuga: Sisemi hiyo, nasema ya Mahakama.
Lissu: Za Mahakama unajua wewe, ila zipo nyingi.
Nassoro Katuga: Za kisheria?
Lissu: Ndiyo, hata maandamano yapo kisheria.
Nassoro Katuga: Nataka basi hii ya kisheria, unatuambia sheria ipi?
Lissu: Njia ambazo siyo za kimahakama ni Ibara ya 21 ya Katiba, ya watu kufanya assembly (mikusanyiko).
Maandamano ya kidemokrasia ya kikatiba na kisheria kwa kutumia mikutano ya hadhara na vyombo vya habari kama njia ya kubadilisha sheria, Katiba au programu za Serikali.
Nassoro Katuga: Naweza kukupa Katiba usome hiyo Ibara.
Lissu: Kila mtu anao uhuru kukutana na watu wengine kwa amani, kujiunga na vyama.
Nassoro Katuga: Hiyo ndiyo tafsiri yako kwamba pale sheria inapokiuka Katiba unatumia hii?
Lissu: Nimesema nje ya utaratibu wa Mahakama.
Nassoro Katuga: Kwa hiyo umemaliza hizo njia?
Lissu: Nimesema hizo ni baadhi.
Nassoro Katuga: Unamjua Julius Ndyanabo?
Lissu: Namfahamu Julius Ishengoma Ndyanabo, namfahamu.
Nassoro Katuga: Unamfahamu vipi?
Lissu: Nafahamu kuwa alifungua kesi kupinga sheria ya uchaguzi, kupinga kifungu cha mtu aliyekuwa anapinga uchaguzi kulipa fedha, na alishinda.
Nassoro Katuga: Kuhusu Mtikila?
Lissu: Namfahamu.
Nassoro Katuga: Kuhusu mgombea binafsi?
Lissu: Christopher Mtikila alifungua kesi ya mgombea binafsi, akashinda. Serikali ikaenda Mahakama ya Rufaa, akaenda Mahakama ya Afrika, akashinda, na Serikali unayoitumikia mpaka leo imekataa kutekeleza hukumu ya Mahakama ya Afrika.
Nassoro Katuga: Nilisikia umemtaja Dkt. Nshala.
Lissu: Ndiyo, nilimtaja na yupo hapa Mahakamani.
Nassoro Katuga: Iambie Mahakama kwamba Dkt. Nshala ni shahidi wako.
Lissu: Siyo shahidi wangu.
Nassoro Katuga: Kuna njia ngapi za manifestation?
Lissu: Zipo mbili, na njia ya kwanza ni publication of a writing or print.
Nassoro Katuga: Namba mbili? Au nikupe sheria?
Lissu: Usinipe, nimekaa nayo.
Lissu: Namba ni kitendo.
Nassoro Katuga: Sheria ikisema “or”, kwa mujibu wa tafsiri ya sheria, maneno haya yanaweza kufanana.
Lissu: Yanaweza kufanana au yasifanane.
Nassoro Katuga: Unamaanisha hapo kwamba maneno haya ni similar?
Lissu: They are similar.
Nassoro Katuga: Kwa tafsiri yako, maneno haya ni similar?
Lissu: Mimi ndiyo natoa ushahidi.
Nassoro Katuga: Kwa ridhaa ya Mahakama, naomba nikupe usome Kifungu cha 39.
Nassoro Katuga: Mbona unataka kusoma huku?
Lissu: Umeleta, umefungua mwenyewe, unaniuliza mimi. (Anamfokea.)
MAHAKAMA KICHEKO
Nassoro Katuga: Sasa nataka usome Penal Code, wewe unasoma Sheria ya Ushahidi.
Lissu: Aliyeleta ni wewe.
MAHAKAMA KICHEKO
Nassoro Katuga: Naomba unisomee.
Nassoro Katuga: Kwa tafsiri ya maneno haya, lilitumika neno “or” ni similar unless neno “similar” limekuwa added.
Lissu: Ndiyo.
Nassoro Katuga: Mahakama ichukue ipi, tafsiri ya sheria au maneno yako?
Nassoro Katuga: Uzuri umeonyesha mwenyewe.
Lissu: Ikiwa similar, it does not make sense.
Nassoro Katuga: Nimesikia umesema vitu vingi sana kuhusu CV yako na mengine ni matatizo yaliyokukuta katika mapambano yako.
Unaonyesha kwamba Serikali imekufanyia.
Je, nitakuwa sahihi nikisema wewe una chuki dhidi ya Serikali?
Lissu: Nina chuki dhidi ya uonevu na Serikali inayoonea watu.
Nassoro Katuga: Kutokana na hayo, ni kweli una chuki dhidi ya Serikali?
Lissu: Nina chuki dhidi ya uonevu wa Serikali.
Nassoro Katuga: Kwa kuwa una chuki dhidi ya Serikali, kama mwanasiasa nitakuwa sahihi nikisema nia ya chama cha siasa ni kushika dola?
Lissu: Siyo nia pekee kushika dola.
Nassoro Katuga: Ni sahihi sasa, kama Mwenyekiti wa chama cha siasa, kuwa moja wapo ya nia ni kushika dola?
Lissu: Moja wapo, yes.
Nassoro Katuga: Iambie Mahakama kama unafahamu mihimili mitatu ya dola.
Lissu: Naifahamu.
Nassoro Katuga: Ambayo ni ipi?
Lissu: Serikali, Mahakama na Bunge.
Nassoro Katuga: Kwenye ishu ya masuala ya sheria, majukumu ya hii mihimili mitatu ni nini? Bunge kazi yake moja wapo ni nini?
Lissu: Ni kutunga sheria.
Nassoro Katuga: Kazi ya Mahakama ni nini?
Lissu: Ni kutafsiri sheria.
Nassoro Katuga: Zilizotungwa na Bunge?
Lissu: Siyo za Bunge peke yake, nyingine ni statutes na maamuzi ya Mahakama.
Nassoro Katuga: Kwenye sheria, lakini si kutafsiri sheria za Bunge?
Lissu: Hapana, inaweza kukataa sheria mbovu ya Bunge.
Nassoro Katuga: Kazi ya Serikali baada ya sheria kutungwa ni nini?
Lissu: Inaisimamia sheria.
Nassoro Katuga: Turudi Kifungu cha 39 cha Kanuni ya Adhabu.
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE IFIKE MBALI