Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu kuhitimisha ushahidi Mkuu leo, Agosti 26, 2026 Mahakamani

Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu kuhitimisha ushahidi Mkuu leo, Agosti 26, 2026 Mahakamani

Katuga anampeleka mdogo mdogo...ameanza na utambuzi wake kama mashahidi walimtambua au laa...
Kinachofuata ni huruma tu basi...
katuga bwege hata hajielewi

kuna sehemu anajipa mamlaka eti ntakuletea hao mashahidi

jamaa akampa makavu huna nguvu izo hao wataletwa kwa amri ya mahakama

wewe na katuga umeme mdg kichwani
 
Huyo Wakili wa Serikali anawalia hela tuu akina Samia! 😊
Na ndio kiongozi kwenye hilo jopo, mpaka sasa sijaona swali lolote lenye "merit" kwenye ushahidi. Kumuuliza mtu kuhusu kombati ambalo ni vazi la chama chake na kama alitambuliwa na mashahidi, hasa wale mapolisi ni akili ndogo. 😊
Hakuna mtu hawezi tambua kombati za Chadema.

Kwa tunaofuatilia: Muuliza swali, anataka aipangue hoja ile ya Lissu, ya "eyewitness", TL katika utetezi wake huko juu kaeleza kwamba ni shahidi mmoja tuu ndiye "Eyewitness", yaani alikuwepo. Na ni mtu wa Jambo TV. The rest katika mshahidi upande wa mashitaka walitazama kupitia Video, ni "Hearsay" ambao walitegemea video katika kufikia maamuzi na ushahidi wao.

Video ambayo TL, amesema wazi ilikuwa ndefu, ila wao waliiona kwa dakika chache. Video hiyo TL pia kasema haijaletwa hapo Mahakamani. Hii mbinu ya TL ni nzuri sana. 😊

Hilo ni pigo kubwa sana kwa Mashitaka, sababu mashitaka yao yamejikita kwenye video. Ndio hapo utaona Wakili wa Serikali kwenye cross-examination, anataka kulazimisha utambuzi (Hasa kwa wale mashahidi/mapoti) kupitia video, yaani wale mashahidi ambao hawakuwepo eneo la tukio, walimtambua kupitia video. Kwa namna nyinyine TL, anakusudia ku disqualify hao ambo hawakuwepo, na kafanikiwa nahisi. Jamaa kweli ni wakili mzuri.

Tayari TL amechimba shimo "poking a hole" kwenye jamvi kwa kete hiyo, kisheria hiyo ni maksi. Ku challenge ushahidi na shahidi. Tuendelee kufuatilia. 😊

Ulikuwepo? Uliona nini? Ulisikia nini? Ndicho TL anachosisitiza hapo. 😊
 
Huyo Wakili wa Serikali anawalia hela tuu akina Samia! 😊
Na ndio kiongozi kwenye hilo jopo, mpaka sasa sijaona swali lolote lenye "merit" kwenye ushahidi. Kumuuliza mtu kuhusu kombati ambalo ni vazi la chama chake na kama alitambuliwa na mashahidi, hasa wale mapolisi ni akili ndogo. 😊
Hakuna mtu hawezi tambua kombati za Chadema.
mkuu atafanyaje alisha kula doano

ila ukweli anaujua kwa TL hana ujanja
 
Huyo Wakili wa Serikali anawalia hela tuu akina Samia! 😊
Na ndio kiongozi kwenye hilo jopo, mpaka sasa sijaona swali lolote lenye "merit" kwenye ushahidi. Kumuuliza mtu kuhusu kombati ambalo ni vazi la chama chake na kama alitambuliwa na mashahidi, hasa wale mapolisi ni akili ndogo. 😊
Hakuna mtu hawezi tambua kombati za Chadema.
Huyo jamaa hata mawakili wenzie wanamuona waki sana
 
Huyo Wakili wa Serikali anawalia hela tuu akina Samia! 😊
Na ndio kiongozi kwenye hilo jopo, mpaka sasa sijaona swali lolote lenye "merit" kwenye ushahidi. Kumuuliza mtu kuhusu kombati ambalo ni vazi la chama chake na kama alitambuliwa na mashahidi, hasa wale mapolisi ni akili ndogo. 😊
Hakuna mtu hawezi tambua kombati za Chadema.
Anajaribu kutengenwza njia ya kugeuza hoja hili aje aseme vazi hilo ni la kijeshi, wewe umelitoa wapi....? Lakini LISSU mjanja kawaelewa mapema sana upuuzi wao
 
Aisee watu ni balaa

Mnaediti vitu hv tena?

Kuna sehemu amekiri kuwa "alisema atakinukisha"

Humu hamuandiki, mnamfariji nani?

..kinachobishaniwa sio maneno bali ni muktadha wa HOTUBA nzima.

..pia mtuhumiwa ameeleza jitihada za usuluhishi na maridhiano alizochukua kabla, na baada ya hotuba.

..mtuhumiwa na chama chake walikuwa radhi uchaguzi uahirishwe, Mama Samia aendelee kwa muda, ili kutoa nafasi Reforms zifanyike.

..sasa mtu mwenye mtizamo wa aina hiyo huwezi kumgeuka ukasema anataka kupindua serikali.

..mhaini huwa hazungumzii uchaguzi. Mhaini hupanga njama, na kusuka mipango, ya kutwaa madaraka kwa njia za mabavu.

..haya mashtaka ya Katuga na wenzake ni kama mchezo wa watoto wa " kidali poo. "

..Maneno ya dakika 1, sijui 2, hayawezi kuwa uhaini.
 
Huyo Wakili wa Serikali anawalia hela tuu akina Samia! 😊
Na ndio kiongozi kwenye hilo jopo, mpaka sasa sijaona swali lolote lenye "merit" kwenye ushahidi. Kumuuliza mtu kuhusu kombati ambalo ni vazi la chama chake na kama alitambuliwa na mashahidi, hasa wale mapolisi ni akili ndogo. 😊
Hakuna mtu hawezi tambua kombati za Chadema.

Kwa tunaofuatilia: Muuliza swali, anataka aipangue hoja ile ya Lissu, ya "eyewitness", TL katika utetezi wake huko juu kaeleza kwamba ni shahidi mmoja tuu ndiye "Eyewitness", yaani alikuwepo. The rest katika mshahidi ni "Hearsay", hilo ni pigo kubwa sana kwa Mashitaka. Ndio hapo utaona Wakili wa Serikali anataka kulazimisha utambuzi kupitia video, yaani wale mashahidi ambao hawakuwepo, walimtambua kupitia video.

Tayari TL amechimba shimo "poking a hole", kisheria hiyo mi maksi. Tuendelee kufuatilia. 😊
Dah na mimi nisie lawyer ndio nimeelewa sasa maana nasoma tuu.
 
..kinachobishaniwa sio maneno bali ni muktadha wa HOTUBA nzima.

..pia mtuhumiwa ameeleza jitihada za usuluhishi na maridhiano alizochukua kabla, na baada ya hotuba.

..mtuhumiwa na chama chake walikuwa radhi uchaguzi uahirishwe, Mama Samia aendelee kwa muda, ili kutoa nafasi Reforms zifanyike.

..sasa mtu mwenye mtizamo wa aina hiyo huwezi kumgeuka ukasema anataka kupindua serikali.

..mhaini huwa hazungumzii uchaguzi. Mhaini hupanga njama, na kusuka mipango, ya kutwaa madaraka kwa njia za mabavu.

..haya mashtaka ya Katuga na wenzake ni kama mchezo wa watoto wa " kidali poo
" Maneno ya dakika 1 sijui 2 hayawezi kuwa uhaini.
Exactly, walete mpango kazi au mawasiliano yaliyowai kufanyika kuthibitisha uhaini sio kauli zenye tafsiri binafsi...
 
Kwa hali nayoiona ya mawakili wa serikali wanavyopitia wakati mgumu kumfanyia cross examination Lissu.

Hata ningekuwa mimi ndio Raisi, Makamu, Waziri Mkuu, Mkuu wa Majeshi, Mkuu wa idara ya usalama. Nasikia Lissu anasema niemde nikawe shahidi wake, ningekataa wito.

Anachokifanya Lissu ni humiliation, namna pekee ya kuweza kuepuka hicho kikombe ni kuingia kama Jaji.

Upande wa Majaji ndio upande ulio salama, vinginevyo labda waje kwa nafasi ya Karani au wahudhuriaji wengine.

Lissu ni tunu ya Afrika.
 
TUNDU LISSU ANAULIZWA MASWALI YA DODOSO MAHAKAMANI

Naasoro Katuga: Ulisema moja wapo ya kazi ya Serikali ni kusimamia sheria.

Lissu: Ndiyo.

Naasoro Katuga: Na uchaguzi upo kwa mujibu wa sheria.

Lissu: Ila hausimamiwi na Serikali, bali Tume ya Uchaguzi.

Naasoro Katuga: Iambie Mahakama, kurusha mawe ni uvunjifu wa amani au siyo?

Lissu: Ni uvunjifu wa amani.

Naasoro Katuga: Kazi ya Polisi ni kulinda amani.

Lissu: Ndiyo.

Naasoro Katuga: Unapotishia kuvunja amani, umewalenga Polisi.

Lissu: Swali lako ni la kijinga.

Naasoro Katuga: Unapomtishia mtu wa kawaida unavunja amani, wala humlengi amani.

Naasoro Katuga: Mtu anapotishia kuvunja amani, anakuwa ametishia Jeshi la Polisi au siyo?

Lissu: Anakuwa amelipa kazi Jeshi la Polisi kulinda amani, siyo kulitishia Jeshi la Polisi.

Naasoro Katuga: Kama nimekuelewa, ushahidi wako ulisema unataka kuhamasisha maandamano ya kidemokrasia kupinga uchaguzi. Sasa waambie Waheshimiwa Majaji yale maneno uliyoyakubali katika hati ya mashitaka. Kuna sehemu yoyote umesema utahamasisha uasi ambao ni maandamano, utavuruga uchaguzi kwa maandamano?

Lissu: Hayo maneno hayapo kwa sababu hamkuleta video yote.

Naasoro Katuga: Wewe ulileta hiyo video.

Lissu: Siyo kazi yangu kuthibitisha.

Naasoro Katuga: Wewe umeapa kutoa ushahidi, sasa sema tulileta video, hatukuleta ukaikataa.

Lissu: Imeagizwa na Mahakama, siyo mimi.

Naasoro Katuga: Ungependa hiyo video uione?

Lissu: Nione vipi na siijui?

Naasoro Katuga: Tuliileta lakini ukaikataa.

Lissu: Mlileta, Mahakama ikakataa, takataka.

Naasoro Katuga: Iambie Mahakama demokrasia unayoifahamu wewe, kwamba si kila mtu ana haki ya kufanya analoona linafaa. Kwamba siku ya kupiga kura, anayetaka apige na asiye taka asipige. Sasa uliposema unaleta demokrasia ya maandamano, huoni unazuia wengine kupiga kura?

Lissu: Mimi natumia njia za kidemokrasia zinazoruhusiwa kikatiba na kisheria. Sheria inasema kama jambo hulipendi, unatumia hatua kulipinga na kulizuia.

Naasoro Katuga: Unajua kuzuia uchaguzi ni kuvunja Katiba?

Lissu: Si kweli. Sheria ingesema.

Naasoro Katuga: Unasema Katiba inakupa ruhusa kumzuia mtu kupiga kura?

Lissu: Nimesema sheria.

Naasoro Katuga: Soma hapa katika Katiba.

WEKA EMOJI KAMA UNASOMA

SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI
 
Back
Top Bottom