Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu kuhitimisha ushahidi Mkuu leo, Agosti 26, 2026 Mahakamani

Akaona meza anayotingisha ina vinywaji vya gharama sana.

Lengo lake ilikuwa kujenga hoja kuwa: Kama Lissu hufanya utetezi kwa maslahi ya nchi/wananchi kwanini aliigeuka nchi katika masuala ya makinikia?

Lissu alitaka ampe somo kwanini katika suala makinikia alikuwa anamtetea mwekezaji, akaona alaaah! (Na ndio hii hoja yao ya hovyo huwa wanatumia kumuita Lissu kibaraka kivipi wakati amepambana na wawekezaji (wazungu) mara nyingi tu walipofanya uonevu kwa wananchi kwa mgongo wa uwekezaji.

Kwahiyo stand ya Lissu ni kutetea haki iwe imevunjwa na serikali au mwekezaji. Hilo jina kibaraka walifute mara moja hawa maCCM. (Kina iD ya mtu mmoja nimeisahau alikuwa na maslahi sana na suala la makinikiia, alitetea kwa nguvu zote Lissu kupigwa risasi kuwa ni msaliti, tangu mauaji ya october naona amepotea. Nilitamani sana ile ID icomment kuhusu hii kesi, yule mtu alikuwa msomi mzuri tu ila kama ilivyokawaida ya maCCM maslahi yao yakiguswa wako tayari kuua/kutetea mauaji.
 
Hii video nimeitazama zaidi ya mara 5

Angalia namna polisi wa magereza wanavyoweka umakini kumsikiliza Lissu.

Cheki huyo jamaa wa kushoto ambaye kofia yake imekatibiana na mic

Kuna namna hawa Askari wa Magereza wanaonyesha kumkubali jamaa ila hawana namna zaidi ya kutekeleza maagizo ya watawala dhalimu.
Your browser is not able to display this video.
 

Etwege nini, maana huyo ni kama mke wa Magu.
 
Niliitazama hii video mara tatu.
Nikaamua kwamba hali ya sasa ni tofauti kwa mbali sana na hali iliyokuwepo siku zote.
 
Hao maaskari nawaonea huruma. Hawataingizwa kwenye shida?.
 
Lissu ni Rastafarian au Dreader?
 
Anaongea nao kama washkaji na wanamuuliza maswali. Hii ni ishara nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…