Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu kuhitimisha ushahidi Mkuu leo, Agosti 26, 2026 Mahakamani

Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu kuhitimisha ushahidi Mkuu leo, Agosti 26, 2026 Mahakamani

Huwa wako excited na ujinga sijui kwanini.

Nakumbuka machawa walivyokuwa excited na yule shahidi wa mwisho, humu walikuwa wanatuambia kuwa tulieni kuna shahidi huyo ni noma, kwamba ndio ataweka kila kitu hadharani blah blah, Siku ya shahidi kutoa ushahidi kukawa hakuna la maana zaidi shahidi aligaragazwa vibaya kwenye cross examination. Ni watu fulani hivi kama hawajui lolote zaidi ya kutega masikio kwenye makorido wanasikilizia ma Boss zao wanachojadili bila kuzingatia context ya kijachojadiliwa, wao wanakibeba kama kilivyo kuja kukata nacho viuno humu.


Kwenye yote haya hakuna hope la msingi la wao kulifurahia zaidi ya kuonesha jinsi wanavyopwaya kila siku, ni heri wangeendelea kusubiri Nyundo ya jaji ya maelekezo, lakini kwa mwenendo wa kesi hakuna kitu.
Hizi cross examination huwa zinakuwa ngumu sana, kwasababu zinakuwa na mkusanyiko wa weak point, na ambazo ni doubted, ndiyo maana unakuta wakili amekaa kimya anaziandika(Umeona lisu mara nyingi alijibu kwa short na umakini mkubwa)

Mahakamani kugumu kama hujui sheria asikwambye mtu.
 
Uncalled for, and at the wrong place and audience.

Mambo haya ya kuonyeshana imani zetu yaacheni huko huko kunakostahili..

Hiyo haina maana kwamba hatuujui utukufu wa huyo tunayemwomba hayo tunayoomba.
Hizi akili au matope?
 
Hizi akili au matope?
Ikiwa ni "matope" hiyo ya kwako itakuwa ni kitu gani hasa!

Upumbavu wa namna hiyo ndio umelifikisha hapa taifa hili; na kama huelewi hilo wewe utakuwa ni mpumbavu kabisa.
Unapolewa bangi zako za kiimani, usitake kuwaenezea wengine wasiozihitaji. Zipeleke huko kunakostahiki, hutasikia yeyote akikulalamikia.
 
Nimefuatilia kesi ya LISSU Kile kilichoendelwa leo mahakamani, haa kilichowekwa Kwenye uzii huu toka Alif mbaka Wasalamu, na nimepata picha kwamba Taifa letu linapaswa kupata Katiba mpya yenye Mamlaka ya Usimamizi wa Misingi yake. Kitu kikubwa hapa ni kwamba misingi ya haki, demokrasia za kisiasa, utawala bora na utawala wa sheria vimeifadhiwa kwenye mamlaka ya mwenye maslahi ya kisiasa. Mambo haya hayapaswi kuwekwa kapu moja kamwe yaani Mwenye maslahi ya kisiasa hawezi kamwe kuwa Msimamizi wa Misingi ya Demokrasia ya Kisiasa, kiukweli mayai haya hayapaswi kuwekwa kapu moja kamwe, Baada ya kusema haya naomba Nipendekeze kwenu "Rasimu ya katiba yenye muundo wa dola lenye mihimili minne ya kitaifa", Yaani.

1. Baraza la usimamizi wa taifa;
Baraza hili ni muhimili wa usimamizi wa misingi yote ya kitaifa, mamlaka ya kimuungano, tathmini za kitaifa na muungozo kwa hali ya taifa pale Kanuni za ulinganigu wa nguvu za kikatiba zinapoingia.

2. Serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania; serikali ni muhimili wa utendaji, utekelezaji wa sera za serikali na taifa, ulinzi wa taifa na mengineyo kama rasimu hiyo itamkavyo.

3. Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania; bunge ni muhimili wa uwakilishi wa wananchi wenye jukumu la kutunga sheria, kupitisha bajeti za taifa, majadiriano ya muelwkwo wa taifa na mengineyo kama rasimu yenyewe itamkavyo.

4. Mahakama ya jamhuri ya muungano wa Tanzania; Mahakama ni muhimili wa utoaji haki, mfasiri wa katiba na sheria za nchi, mtoa huku wa makosa ya jinai na madai na mengineyo kama rasimu yenyewe itamkavyo. Jambo la kipekee ni kwamba ndani ya muhimili huu kuna mahakama ya katiba yenye mamlaka ya juu na ya mwisho kabisa ya mashauri ya kikatiba nchini.

Muundo huu unahakikisha uwajibikaji, uwazi, uadilifu na kuondoa kabisa ufisadi, ubadhirifu wa mali za umma na mwisho kuibua usawa na mshikamano wa kitaifa.

katika rasimu hiyo inayopatikana katika tovuti ya www.katibampya.com Mihimili hii yote minne imetamkwa kwenye SURA YA NNE ya katiba hiyo kwa kuanza na Baraza ibara ya 98 mbaka ibara ya 116 kisha kuendelea mihimili mingineyo kwa mpangilio wa nambafi kama ulivyoweka hapo juu.

Aidha pia Sehemu kubwa ya historia ya LISSU imezungumzia Uchaguzi, na niendelee kusema kwamba Rasimu ya katiba kwenye tovuti tajwa haijaishia pekee kwenye Kuanzisha Tume huru ya uchaguzi, katika ibara ya 212, rasimu hiyo emeenda mbali mbaka kuanzisha, "Mchakato wa uthibitisho wa uhalali wa madaraka na kupingwa kwake" katika ibara ya 176.

Fikiria: kabla ya kuapishwa kwa Rais, Mbunge na Diwani, kuna mchakato maalumu wa Kikatiba wa kuthibitisha Kura, ushindi, na hapo ndipo Mahakama ya Katiba inaitisha Uthibitisho rasmi. Zoezi hilo limewekwa kwa muda wa siku thelathini (30) mbaka sabini na tatu (73) pekee.

Haya yote ninayoyasema hapa si maneno ya jumla hivyo ni wajibu wako kufika kwenye tovuti hiyo na kusoma rasimu hiyo hasa kuanzia kwenye ibara nilizozitaja hapo juu au kuanza mwanzo hadi mwisho.

Angalizo; Rasimu hiyo ya katiba haiondoa mchakato rasmi wa katiba, Hivyo basi Rasimu hiyo ni maoni ya kisomi, kitaaluma yanayoitaji jicho la kisomi, kitaaluma na raia wote kwa ujumla na kwa maoni haya nina imani pale mchakato rasmi utakapoanza basi Wananchi wote tutakuwa na taswira nzuri ya nini kilicho bora.

chanzo: www.katibampya.com
 
Hizi akili au matope?
Na kama unafikiri natania, nijaribu uone.
Wewe humjui Mungu kuliko wengine wote.
Kaa naye huko huko; usitake kutuonyesha tusiotaka maonyesho yako mbele zetu.
 
Mi pia nimewaza the same.

Wanaweza kuonekana kama watu wasiofanyia kazi maagizo.

At this point naanza kuelewa sababu ya wao kuvaa kininja.

Huwenda ile mask ya Kininja inawakinga wasionekana pale wanapocheka au kuficha aina hii ya facial expression.
Kweli kabisa. Maana wanapiga stori na Lissu kama vile ni mtu wao kabisa. Anawapa maujanja ya kesi. Kwamba pale hawawezi kunishika.
 
Kwahiyo , unaweza ukawa kipara kama Januari Makamba na ukawa Rasta na ukawa na nywele kama Afaned sele ila usiwe Rastafarian?
Upo sawa rastafari harakati ya kiimani hasa upendo haki na amani

Ila sio kipara kama j makamba kile ni cha kifisadi!
 
Kwanini tusiamini? Tutaamini vizuri tu maana ninyi vibwengo huwa hamuoni aibu, kesi takataka, ushahidi takataka, Hata mkimfunga/mnyonga dunia nzima imeona kilichokuwa kinaendelea mahakamani bwana Kingai.

Leo ntapigwa ban nimefanya name calling .
Katuga ametengeneza mazingiza kesi ifike Mahakana ya Rufani, nahisi kufikia 2030 huko
 
.mhaini huwa hazungumzii uchaguzi. Mhaini hupanga njama, na kusuka mipango, ya kutwaa madaraka kwa njia za mabavu.
EXACTLY! SIJAONA POPOTE AMBAPO LISU ALIONESHA NIA HIYO

Uhaini ingredients



Kisheria, kosa la uhaini linatendeka pale ambapo mtu anafanya vitendo au njama za hatari zinazolenga kuhatarisha usalama wa nchi au kuipindua serikali halali.

Kwa mujibu wa Kanuni ya Adhabu (Penal Code, Cap 16) ya Tanzania, mambo yafuatayo yakitendeka yanafanya kosa la uhaini kuwa limetendeka:

Matendo Yanayofanya Uhaini

  • Kumdhuru Rais: Kumuua au kujaribu kumuua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  • Kuanzisha Vita: Kuanzisha vita au kuchochea uvamizi wa kijeshi dhidi ya Jamhuri ya Muungano ndani au nje ya nchi.
  • Kusaidia Maadui: Kushirikiana na maadui wa nchi kwa kuwapa misaada, siri, au taarifa za kuhatarisha usalama.
  • Kutumia Silaha: Kuchukua silaha kwa lengo la kulazimisha serikali ibadilishe maamuzi yake au kuiondoa kwa nguvu.
  • Njama za Kupindua: Kupanga, kushauri, au kuwashawishi wengine kuiondoa serikali madarakani kwa njia zisizo za kikatiba.
Vipengele Muhimu Vya Kisheria (Elements)

Ili mtu akutwe na hatia ya uhaini, mahakama inapaswa kujidhirishisha kwa mambo haya:

  • Nia Mbaya (Hostile Intent): Kuwepo kwa dhamira au nia ya wazi ya kusaliti au kuvuruga mamlaka ya nchi.
  • Kitendo Halisi (Overt Act): Mtuhumiwa awe amechukua hatua au kufanya kitendo kinachothibitisha mpango huo (si tu kuwaza).
  • Utiifu (Allegiance): Mtuhumiwa kuwa ni raia wa Tanzania au mtu aliye chini ya utii wa sheria za nchi.
 
Lissu: Huna unachojua kama unataka niulize nitakwambia nilivyosema

Katuga: Si ulisema Tanzania ilishitakiwa je ilishitakiwa kweli mbona mimi sijui kama ilishitakiwa?
Nimejua kumbe huyu Jamaa ni Eltwege Mzee wa MIGA🤣🤣
 
Katuga: Wewe ni Kaka angu umenitangulia kwenye taaluma si ungesoma eneo lenyewe kama nimekufunulia ukurasa tofauti.

Mhe. Lissu: Sio kazi yangu mimi ungefungua unapotaka wewe.
Maskini Wakili Katuga anafunga bila umaskini anaambulia aibu
 
kusema combat hiyo ni ya kijeahi wewe umeipata wapi, hili wapite kwenye hoja kana kwamba walishakuwa na vitendea kazi kutenda uhaini.
hata hii ni far fetched rubbish statement to link it with UHAINI! Wangapi wanavaa khaki combats mitaani? Is kuvaa kombati one of the ingredients of treason? Hata ukiwa na silaha, as long as hakuna ushahidi kuwa zililenga kupindua serikali/kuitisha, sioni link yoyote na uhaini!
 
Back
Top Bottom