CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Qumer la mamakoPole nyumbu kwa kukereka
Usikereke mapema
Nyumbu mwenzio lisu muda si mrefu atapgwa kitanzi kwa mjibu wa sheria....
Pole sana baa vichaa wa tecdema
Qumer la mamakoPole nyumbu kwa kukereka
Usikereke mapema
Nyumbu mwenzio lisu muda si mrefu atapgwa kitanzi kwa mjibu wa sheria....
Pole sana baa vichaa wa tecdema
kwa katuga hakuna shuleMoto juu ya moto.
Hatari sana hapo.
Hapo shule juu ya shule
Hoja yako ni ya msingiExactly, mimi nilijua hili toka mwanzo kwamba njia pekee waliyobaki nayo ni kutengeza neno atakalolikubari kisha waachane na ushaidi wao wakazie hapo. Mfano waliposema kuhusu combat LISSU akawaelewa wanataka baadae kusema combat hiyo ni ya kijeahi wewe umeipata wapi, hili wapite kwenye hoja kana kwamba walishakuwa na vitendea kazi kutenda uhaini.
All in all uhaini unaitaji ushaidi wa mpango mkakati au mawasiliano kamili sio tafsiri ya maneno binafsi ambayo kila mtu anaweza kutafsiri atakavyo, so mimi nikisema neno "Wachochezi wa Mabadiriko ya Maendeleo ya kijamii", Mmoja ata fasiri kana kwamba ni ni neno la kufanya tendo baya na mwengine anaweza kutafasiri kana kwamba ni neno zuri.
naomba kujazia hapa hili nieleweke, JK Nyerere alishawai kusema "Nia yangu ya kudai uhuru ni kuzalisha vijana waasi dhidi ya ukandamizaji", maneno haya yanaweza kutafasiriwa kama JK Nyerere aliunga mkono Uwasi, maana maneno yanafuata kwenye sentensi hiyo yanavitendo vizuri na vibaya. Mfano neno ukandamizaji, unaweza kuwa kukandamizwa kwa kikunyangwa na mguu wa mtu mwengine au wewe kukandamiza kitu aridhini.
Hivyo sentensi nzima ina tafsiri zaidi ya moja.
On my knowledge, hapa hakuna kesi ya uhaini kwa mujibu wa kinachobishaniwa ni Maneno yenye tafsiri zaidi ya moja, pia kama alikuwa na nia ya kuzuia uchaguzi usifanyike je 98% zimetoka wapi, je wamefanikiwa na kama wamefanikiwa why 98% ya ushindi wa SSH, hii tu inathibitisha tosha kwmba uchaguzi haukuiliwa kwa namna ya kumzuia mtu kwenda kupiga kula.
Kwanini tusiamini? Tutaamini vizuri tu maana ninyi vibwengo huwa hamuoni aibu, kesi takataka, ushahidi takataka, Hata mkimfunga/mnyonga dunia nzima imeona kilichokuwa kinaendelea mahakamani bwana Kingai.Tunamfunga yule mhaini na hamtaamini macho yenu
Swali lako la kijinga kwa sauti ya Lissu. 😂Lissu ni Rastafarian au Dreader?
Swali la kijinga ndio linaleta jibu erevu.Swali lako la kijinga kwa sauti ya Lissu. 😂
Yani wanashangaa sana ujinga wa kina Katuga. Useless kabisa
Kabisa MkuuNiliitazama hii video mara tatu.
Nikaamua kwamba hali ya sasa ni tofauti kwa mbali sana na hali iliyokuwepo siku zote.
Mkurya ***** huyo anazidiwa akili hadi na mkewe.Qumer la mamako
Kwanini tusiamini? Tutaamini vizuri tu maana ninyi vibwengo huwa hamuoni aibu, kesi takataka, ushahidi takataka, Hata mkimfunga/mnyonga dunia nzima imeona kilichokuwa kinaendelea mahakamani bwana Kingai.
Leo ntapigwa ban nimefanya name calling .
Mi pia nimewaza the same.Hao maaskari nawaonea huruma. Hawataingizwa kwenye shida?.
Rastafarian ni imaniLissu ni Rastafarian au Dreader?
Pole nyumbu kwa kukereka
Usikereke mapema
Nyumbu mwenzio lisu muda si mrefu atapgwa kitanzi kwa mjibu wa sheria....
Pole sana baa vichaa wa tecdema
Huwenda hata hawa ndio wanaompenyezea baadhi ya intelAnaongea nao kama washkaji na wanamuuliza maswali. Hii ni ishara nzuri.
Kwahiyo , unaweza ukawa kipara kama Januari Makamba na ukawa Rasta na ukawa na nywele kama Afaned sele ila usiwe Rastafarian?Rastafarian ni imani
Dread ni mtindo wa nywele.
Kumbe jamaa ni wana Kabisa 😀Hii video nimeitazama zaidi ya mara 5
Angalia namna polisi wa magereza wanavyoweka umakini kumsikiliza Lissu.
Cheki huyo jamaa wa kushoto ambaye kofia yake imekatibiana na mic
Kuna namna hawa Askari wa Magereza wanaonyesha kumkubali jamaa ila hawana namna zaidi ya kutekeleza maagizo ya watawala dhalimu.
View attachment 3657455
Rastafarian wengi wanasema msingi wa imani yao sio dread japo wao wanakubali kuwa dread ni icon ya utambulisho wao.Kwahiyo , unaweza ukawa kipara kama Januari Makamba na ukawa Rasta na ukawa na nywele kama Afaned sele ila usiwe Rastafarian?
Ndio njia mnayoiweza ila sio kwa hoja.Apigwe mvua nyingi sana huyo kichaa
Naomba sana Mungu hii hali itokee mamayako au babaake au wote wawili au mwanamke wako.Yule fa.la kabla ya kumpiga kitanzi inabidi afungwe apigwe miti kwanza baada ya miaka kadhaa ndipo ale kitanzi ili iwe fundisho kwa vichaa wenzake