Kesi ya Uhaini ya Lissu: Jamhuri yakosa mashahidi!

Hili ndio tatizo la kesi 'za kupikwa.' Mawakili hawana kutetea wasichoamini maana hawana namna
 
Unaongea ni nini?

Tunaongelea kesi ya Uhani ya Lissu wewe na UCHAWA WAKO NA UMALAYA WAKO KISIASA unatuletea habari za mikataba.

Sikiliza wewe kibwengo wa CCM . Hakuna aliyekunyang'anya cheo chako hapo CCM na kula yako itaendelea kuwa vilevile Kwa kujikomba Lakini kaa ukijua LISSU IS THE BEST TO ALL
 
Mbona Lissu alifafanua vyema kufanya uhaini ni nini kwa mjibu wa katiba ya URT:
 
Huyu Mwamba ni nyoko
 
Mh lissu wenda pia hajui nguvu ya Mungu iliyo ndani yake , leo kama angekua mchungaji kama dada yake wenda angekua mtu mkubwa sana zaidi duniani japo hata sasa ni mtu mkubwa Duniani, lissu sio mtu wa kawaida asema Bwana, lissu mpaka mda huu naandika mbele ya Mungu wangu ,ikatokea akachukua Uraia wa nchi kama USA, n.k na kugombea urais wa nchi husika atashinda .

Note

Yesu alisema atarudi ila msitegeme kurudi katika mazingira ambayo ni ya kawaida ,atarudi ila kwa kupitia njia tofauti ,ikiwa ni pamoja na kupitia kwa watu wake aliowachagua wenda mimi, wewe na mwingine wakiwemo watu kama lissu
 

Mkuu

Kukiri umetamka maneno hayo si ushahidi wa hatia kamili. Ni sehemu ya ushahidi (actus reus), lakini upande wa mashtaka bado unapaswa kuthibitisha nia (mens rea).

Ndiyo maana kesi kama hizi mara nyingi huwa na mjadala mkubwa wa kisheria na kisiasa.
 
That I can agree, ndio nilichosema pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…