Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,812
- 82,328
Ndiyo Bibie
hujasikia jana? Ushaambiwa kuna dhambi gani serikali kushirikiana na mahakama?Mahakama Tanzania sio huru, ni rubber stamp ya serikali, Mungu aingilie kati Tanzania haki ianze kuonekana
Siku hazikawii kufika, usikilizwaji kesi ya Lissu huo umewadia. Kama mnakumbuka wakayi uliopita upande wa mashtaka walisema wanahitaji muda zaidi kukamilisha upelelezi na wakaambiwa tarehe itakayopangwa kutakuwa hakuna nafasi ya hiki kisinngizio tena.
Je, nini kitatokea leo, upande wa mashtaka watatupa taulo na kuomba kutoendelea na kesi?
Wacha tusubiri kuona nini kitajiri.
Hakuna namna hiki kisingizio wakalikwepa leo. Wataenda nae hivi hivi hadi October.hakuna nafasi ya hiki kisinngizio tena.
Magari ya Magereza yote yameharibika, ataletwaje Mahakamani?Siku hazikawii kufika, usikilizwaji kesi ya Lissu huo umewadia. Kama mnakumbuka wakayi uliopita upande wa mashtaka walisema wanahitaji muda zaidi kukamilisha upelelezi na wakaambiwa tarehe itakayopangwa kutakuwa hakuna nafasi ya hiki kisinngizio tena.
Je, nini kitatokea leo, upande wa mashtaka watatupa taulo na kuomba kutoendelea na kesi?
Wacha tusubiri kuona nini kitajiri.
Free TALSiku hazikawii kufika, usikilizwaji kesi ya Lissu huo umewadia. Kama mnakumbuka wakayi uliopita upande wa mashtaka walisema wanahitaji muda zaidi kukamilisha upelelezi na wakaambiwa tarehe itakayopangwa kutakuwa hakuna nafasi ya hiki kisinngizio tena.
Je, nini kitatokea leo, upande wa mashtaka watatupa taulo na kuomba kutoendelea na kesi?
Wacha tusubiri kuona nini kitajiri.
Ni kweli watuhumiwa wanakaa mahabusu kutokana na ukosefu wa sheria ya kuwalinda lakini Sasa wakuibadiridha hiyo sheria ninani iwapo Kuna kikundi kinafaidika na utaratibu huosheria zibadirike mawakili wa serikali, polisi na wahusika wa upelelezi wapewe siku za kufanya upelelezi siku zikiisha basi kesi ifutwe na waambiwe kulipa gharama za kesi
wananakaa wanasumbua watu kwa upumbavu wao tu
sidhani kama alisema hivyo. Huyo hakimu sana sana anapokea maagizo. Hakimu or whaterver judge anahitaji kuwa bold enough kukataa maagizo!tarehe itakayopangwa kutakuwa hakuna nafasi ya hiki kisinngizio tena.
Najiuliza, yakizuka ya M23 kwetu hawa polisi wanaopiga raia wanaweza kupigana kweli? wamezoea vya kunyonga, vya kuchija hawaviwezi. Wamezoea kuwapiga viwete/raia!Free TAL
Tuhuma za uhaini ni nzito. Muhaini hapaswi kuchekewa ni mtu hatari kwa ustawi wa nchi.Mahakama Tanzania sio huru, ni rubber stamp ya serikali, Mungu aingilie kati Tanzania haki ianze kuonekana
Lissu ataachiwa hakuna ushahidi wa maana dhidi yake.Siku hazikawii kufika, usikilizwaji kesi ya Lissu huo umewadia. Kama mnakumbuka wakayi uliopita upande wa mashtaka walisema wanahitaji muda zaidi kukamilisha upelelezi na wakaambiwa tarehe itakayopangwa kutakuwa hakuna nafasi ya hiki kisinngizio tena.
Je, nini kitatokea leo, upande wa mashtaka watatupa taulo na kuomba kutoendelea na kesi?
Wacha tusubiri kuona nini kitajiri.
Hii kesi itapigwa danadana za kutosha ili tu kuhakikisha Lissu anabakia ndani mpaka uchaguzi upite.Siku hazikawii kufika, usikilizwaji kesi ya Lissu huo umewadia. Kama mnakumbuka wakayi uliopita upande wa mashtaka walisema wanahitaji muda zaidi kukamilisha upelelezi na wakaambiwa tarehe itakayopangwa kutakuwa hakuna nafasi ya hiki kisinngizio tena.
Je, nini kitatokea leo, upande wa mashtaka watatupa taulo na kuomba kutoendelea na kesi?
Wacha tusubiri kuona nini kitajiri.
Sheria zipo na zina state, kabla hujufungua jalada, uwe umeshamaliza upepelezi.sheria zibadirike mawakili wa serikali, polisi na wahusika wa upelelezi wapewe siku za kufanya upelelezi siku zikiisha basi kesi ifutwe na waambiwe kulipa gharama za kesi
wananakaa wanasumbua watu kwa upumbavu wao tu