Hata mimi nahisi hivyo, hasa ukizingatia wamezuia shughuli zote za chama.Lissu ataachiwa hakuna ushahidi wa maana dhidi yake.

na hiyo ndio adhabu ya mwanzo kabisa ya mtuhumiwa uhalifu au mfungwa yeyote anaesota korokoroni.Wanampotezea muda tu mheshimiwa TAL
Sidhani kama watamkamata tena...watafuta kesi.
..halafu watamkamata tena.
KabisaWanampotezea muda tu mheshimiwa TAL
Siku hazikawii kufika, usikilizwaji kesi ya Lissu huo umewadia. Kama mnakumbuka wakayi uliopita upande wa mashtaka walisema wanahitaji muda zaidi kukamilisha upelelezi na wakaambiwa tarehe itakayopangwa kutakuwa hakuna nafasi ya hiki kisinngizio tena.
Je, nini kitatokea leo, upande wa mashtaka watatupa taulo na kuomba kutoendelea na kesi?
Wacha tusubiri kuona nini kitajiri.
====
Wananchi, wanachama na viongozi wa Chadema wakiendelea kuwasili Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
View attachment 3371027
View attachment 3371033
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche akiingia katika chumba cha mahakama kwa ajili ya kufuatilia mashauri yanayomkabili mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu.
View attachment 3371065
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Dkt. Wilbroad Slaa akiingia katika viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kufuatilia kesi zinazomhusu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu
View attachment 3371019
Ulinzi umeimarishwa nje mahakama ya Kisutu.
View attachment 3370986
Gari za jeshi la Magereza na Polisi zikiingia katka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam ikiwa ni msafara wa peke yake unaoonekana kumbeba Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu ili kuja kufuatilia mashauri yanayomkabili.
Tofauti na siku zingine leo Lissu aliingizwa kwa namna ya tofauti ambapo hata upatikanaji wa picha yake ulikua mgumu huku waandishi wakifanikiwa kuinasa t-shirt pekee(ya no reform no election) iliyozoeleka kuvaliwa na Lissu akiletwa mahakamani.
View attachment 3371024
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Wananchi tayari wameingia ndani ya ukumbi wa Mahakama. Anasubiriwa Tundu Lissu kupandishwa kizimbani. Hakimu pia aingie na kesi iendelee pale ilipoishia.
View attachment 3371102
Dada wa Tundu Lissu, Mchungaji Rose Lissu ameongoza maombi katika chumba ambacho inafanyikia kesi ya Lissu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam.
View attachment 3371112
Tayari Hakimu ameingia kwenye chumba cha mahakama kabla ya Lissu kuingia ambapo hajapata nafasi ya kuwasalimia waliohudhuria mahakamani hapo na kuishia kutikisa kichwa pekee.
LISSU AOMBA KUZUNGUMZA
"Leo hii hapa tulipo ni siku ya 68 tangu nilipoletwa mbele ya mahakama yako tukufu na kusomewa mashtaka ya uhaini, siku 68 na toka siku niliposomewa mashtaka ya uhaini, Mh. uliagiza nipelekwe magereza nikawe mfungwa mahabusu na kwa siku 68 hizi nimekuwa mahabusu, kwa wiki moja gereza la Keko na tangu Ijumaa kuu nimekuwa gereza kuu la Ukonga siku 68.
Mawakili wangu hawa wamekuja kunitembelea gerezani ili tushauriane namna ya kukabiliana na mashtaka haya, hawajaacha kuja mahakamani, hawajaacha kuja magereza na muda wote ambao wamekuja katika siku hizi 68 hawajaruhusiwa kuniona na kuwasiliana na mimi. Hawajaruhusiwa kuonana na mimi na kuzungumza na mimi kwa faragha.
Kitu ambacho kimetokea Mh. ukiingia kwenye gereza kuu la ukonga unapopita reception kuna kachumba kulia, hako kachumba kamegawanywa mara mbili, na ukuta wa kioo, unapokuja wanasimama nyuma ya kioo upand wa reception na mimi nasimama upande mwingine wa kioo tunawasiliana kwa simu na mawakili, tunawasiliana kwa simu. Hakuna fursa ya kubadilishana nyaraka na mimi nina manyaraka mengi sana, hakuna fursa ya kuandika chochote kwa sababu hakuna meza hakuna kiti, mnazungumza kwa simu.
Kama mfungwa mwenye mawakili nina haki ya kuonana na mawakili in confidence ni haki, sio mapenzi ya bwana jela ni haki kama ambavyo nitafafanua hapa."
"In fact Mh. Hakimu kuna wakili mmoja alinitembelea hapa nikapiga sana kelele bwana jela akaniambia kama unaona simu haiwezekani akaniambia njoo ukae hapa reception palipojaa maafisa wa magereza, muongee yeye yupo upande wa pili wa lile lilango la green la chuma yupo upande wakili, mimi kipo upande wa gereza tunazungumza maafisa wote wa gereza kama walivyo hapa wananiangalia kila mtu ananisikiliza ninachozungumza.
Na kwenye simu Mh. hiyo simu anaisikiliza nani mwingine, nani anayejua kwamba kuna mtu mwingine huko anayesikiliza tunachozungumza. Nani anayejua kwamba kwenye 'control room' hakuna vinasa sauti. Sasa Mh. twende kwenye sheria.
Utanyongwa wewe na mama yako, stupidWrite your reply...anyongwe
Tatizo mahakama zinaongozwa na ccmHii nchi ya Ajabu sana, tuna taratibu mbovu sana za kimahakama
Reforms for ElectionMungu atasimama na Lissu.
#No reforms no election

Wanaogopa hadi sura ya Lissu, huu utawala ni wa kijinga sana, sasa Lissu akipigwa picha kuna tatizo gani? Au deni la Taifa litaongezeka?Wakati imezoeleka kuwa mshitakiwa hutangulia kupanda kizimbani kabla ya hakimu kuingia, katika kesi ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, hakimu ndio anatangulia kuingia kuingia katika ukumbi wa Mahakama kisha mtuhumiwa.
Baadaya Lissu kuingia mahakamani, waandishi wa habari wakatolewa nje ili wasimpige picha.
Siku hazikawii kufika, usikilizwaji kesi ya Lissu huo umewadia. Kama mnakumbuka wakayi uliopita upande wa mashtaka walisema wanahitaji muda zaidi kukamilisha upelelezi na wakaambiwa tarehe itakayopangwa kutakuwa hakuna nafasi ya hiki kisinngizio tena.
Je, nini kitatokea leo, upande wa mashtaka watatupa taulo na kuomba kutoendelea na kesi?
Wacha tusubiri kuona nini kitajiri.
====
Wananchi, wanachama na viongozi wa Chadema wakiendelea kuwasili Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
View attachment 3371027
View attachment 3371033
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche akiingia katika chumba cha mahakama kwa ajili ya kufuatilia mashauri yanayomkabili mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu.
View attachment 3371065
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Dkt. Wilbroad Slaa akiingia katika viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kufuatilia kesi zinazomhusu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu
View attachment 3371019
Ulinzi umeimarishwa nje mahakama ya Kisutu.
View attachment 3370986
Gari za jeshi la Magereza na Polisi zikiingia katka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam ikiwa ni msafara wa peke yake unaoonekana kumbeba Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu ili kuja kufuatilia mashauri yanayomkabili.
Tofauti na siku zingine leo Lissu aliingizwa kwa namna ya tofauti ambapo hata upatikanaji wa picha yake ulikua mgumu huku waandishi wakifanikiwa kuinasa t-shirt pekee(ya no reform no election) iliyozoeleka kuvaliwa na Lissu akiletwa mahakamani.
View attachment 3371024
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Wananchi tayari wameingia ndani ya ukumbi wa Mahakama. Anasubiriwa Tundu Lissu kupandishwa kizimbani. Hakimu pia aingie na kesi iendelee pale ilipoishia.
View attachment 3371102
Dada wa Tundu Lissu, Mchungaji Rose Lissu ameongoza maombi katika chumba ambacho inafanyikia kesi ya Lissu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam.
View attachment 3371112
Tayari Hakimu ameingia kwenye chumba cha mahakama kabla ya Lissu kuingia ambapo hajapata nafasi ya kuwasalimia waliohudhuria mahakamani hapo na kuishia kutikisa kichwa pekee.
LISSU AOMBA KUZUNGUMZA
"Leo hii hapa tulipo ni siku ya 68 tangu nilipoletwa mbele ya mahakama yako tukufu na kusomewa mashtaka ya uhaini, siku 68 na toka siku niliposomewa mashtaka ya uhaini, Mh. uliagiza nipelekwe magereza nikawe mfungwa mahabusu na kwa siku 68 hizi nimekuwa mahabusu, kwa wiki moja gereza la Keko na tangu Ijumaa kuu nimekuwa gereza kuu la Ukonga siku 68.
Mawakili wangu hawa wamekuja kunitembelea gerezani ili tushauriane namna ya kukabiliana na mashtaka haya, hawajaacha kuja mahakamani, hawajaacha kuja magereza na muda wote ambao wamekuja katika siku hizi 68 hawajaruhusiwa kuniona na kuwasiliana na mimi. Hawajaruhusiwa kuonana na mimi na kuzungumza na mimi kwa faragha.
Kitu ambacho kimetokea Mh. ukiingia kwenye gereza kuu la ukonga unapopita reception kuna kachumba kulia, hako kachumba kamegawanywa mara mbili, na ukuta wa kioo, unapokuja wanasimama nyuma ya kioo upand wa reception na mimi nasimama upande mwingine wa kioo tunawasiliana kwa simu na mawakili, tunawasiliana kwa simu. Hakuna fursa ya kubadilishana nyaraka na mimi nina manyaraka mengi sana, hakuna fursa ya kuandika chochote kwa sababu hakuna meza hakuna kiti, mnazungumza kwa simu.
Kama mfungwa mwenye mawakili nina haki ya kuonana na mawakili in confidence ni haki, sio mapenzi ya bwana jela ni haki kama ambavyo nitafafanua hapa."
"In fact Mh. Hakimu kuna wakili mmoja alinitembelea hapa nikapiga sana kelele bwana jela akaniambia kama unaona simu haiwezekani akaniambia njoo ukae hapa reception palipojaa maafisa wa magereza, muongee yeye yupo upande wa pili wa lile lilango la green la chuma yupo upande wakili, mimi kipo upande wa gereza tunazungumza maafisa wote wa gereza kama walivyo hapa wananiangalia kila mtu ananisikiliza ninachozungumza.
Na kwenye simu Mh. hiyo simu anaisikiliza nani mwingine, nani anayejua kwamba kuna mtu mwingine huko anayesikiliza tunachozungumza. Nani anayejua kwamba kwenye 'control room' hakuna vinasa sauti. Sasa Mh. twende kwenye sheria. Mh. Nataka nikusomee kanuni ya 13 ya prisons (prison management regulations 1987, GN 60 of 1987 inasema hivi
'Every prisoner shall be given all reasonable opportunities of communication with his legal adviser or with such other person as the officer-in-charge may approve as representing the interests of the prisoner and a visit to a prisoner by the legal adviser or such other person shall take place within the sight but out of hearing of a prison officer.'
Did you ask yourself Why Kibatala?Lissu : "It's time to let me do my things."
Lissu kaweka mawakili pembeni saivi spana zitatembezwa na ye mwenyewe.
I don't know man... Mi shabiki lialia tu.Did you ask yourself Why Kibatala?