PreGE2025 Kesi ya Uhaini ya Lissu yaahirishwa hadi Julai 01, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

..watafuta kesi.

..halafu watamkamata tena.
 
Magari ya Magereza yote yameharibika, ataletwaje Mahakamani?
 
Free TAL
 
sheria zibadirike mawakili wa serikali, polisi na wahusika wa upelelezi wapewe siku za kufanya upelelezi siku zikiisha basi kesi ifutwe na waambiwe kulipa gharama za kesi

wananakaa wanasumbua watu kwa upumbavu wao tu
Ni kweli watuhumiwa wanakaa mahabusu kutokana na ukosefu wa sheria ya kuwalinda lakini Sasa wakuibadiridha hiyo sheria ninani iwapo Kuna kikundi kinafaidika na utaratibu huo
 
tarehe itakayopangwa kutakuwa hakuna nafasi ya hiki kisinngizio tena.
sidhani kama alisema hivyo. Huyo hakimu sana sana anapokea maagizo. Hakimu or whaterver judge anahitaji kuwa bold enough kukataa maagizo!
Hata hao majaji wa kesi ya BRADEA wanaweza kuhatarisha maisha yao maana wamekataa kupokea maaizo!
 
Lissu ataachiwa hakuna ushahidi wa maana dhidi yake.
 
Hii kesi itapigwa danadana za kutosha ili tu kuhakikisha Lissu anabakia ndani mpaka uchaguzi upite.

Hii nchi mpaka tulipofikia, inahitaji kufanyiwa mabadiliko makubwa kwenye mifumo yetu yote ya kusimamia haki, maadili na usawa! Na hii ni kutokana tu na kukithiri kwa vitendo vingi vya rushwa, uonevu, dhuluma, matumizi mabaya ya madaraka, nk.
 
sheria zibadirike mawakili wa serikali, polisi na wahusika wa upelelezi wapewe siku za kufanya upelelezi siku zikiisha basi kesi ifutwe na waambiwe kulipa gharama za kesi

wananakaa wanasumbua watu kwa upumbavu wao tu
Sheria zipo na zina state, kabla hujufungua jalada, uwe umeshamaliza upepelezi.

Hao wa gov wanaokurupuka wanatoka kufanya upelelezi kesi ikiwa inaendelea wamejifunzia sehria wapi?


Sheria za nchi zibadilishwe kufunika madhaifu ya upande fulani? Hapana wawajibike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…