PreGE2025 Kesi ya Uhaini ya Lissu yaahirishwa hadi Julai 01, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
H
Hali ya Hewa ikoje hapo?
 
Mheshimiwa Hakimu Mimi na Team yangu ya Jfs tuko tayari kusikiliza.
 
Haki itasshinda
 
Wakiendelea kumshikilia tena watazidi kuchafuka worldwide
 
Leo watamwachia Lisu!hakuna haja ya kuendelea na kesi inayoichafua jamuhuri kimataifa!
Pia inawaingiza gharama wao. Pesa za maendeleo.

Ule ulinzi, muda wa maakari, usafiri, majaji wangeweza kutumia muda wao kufanya kazi zingine.
 
sheria zibadirike mawakili wa serikali, polisi na wahusika wa upelelezi wapewe siku za kufanya upelelezi siku zikiisha basi kesi ifutwe na waambiwe kulipa gharama za kesi

wananakaa wanasumbua watu kwa upumbavu wao tu


Shida ipo pia kwenye mahakama.

Ngoja tuone kama chini ya uongozi wa jaji mkuu mpya, mahakama itaondoka kuwa idara ya CCM na ikulu. Chini ya Juma, mahakama imekuwa takataka ya CCM. Kabla ya maamuzi ya kesi zote zinazoihusu serikali, yeye Juma alikuwa akifanya vikao na wakuu wa CCM kukubaliana hukumu iweje, kisha anataarifiwa jaji kipenyo.
 
Pia inawaingiza gharama wao. Pesa za maendeleo.

Ule ulinzi, muda wa maakari, usafiri, majaji wangeweza kutumia muda wao kufanya kazi zingine.
Serikali hii ni lini walijali mambo ya gharama? Zipo pesa nyingi tu Kwa ajili ya mambo yasiyo na tija kuliko zile zilizopo Kwa ajili ya mambo yenye tija kwawananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…