PreGE2025 Kesi ya Uhaini ya Lissu yaahirishwa hadi Julai 01, 2025

PreGE2025 Kesi ya Uhaini ya Lissu yaahirishwa hadi Julai 01, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwani Kuna ubaya mfano wa kaamua kusikiliza kesi hii siku zote tano za wiki? Hivi wanafahamu kuwa hii inaumiza? Inavuruga? Inaamsha chuki? Wanahitaji kuchukiwa?
Anyway hizi Imani za dini sio za kuziamini kwani wanaotenda haya wana Imani zao kali tu kwenye dini zao
 
Hawa ndio walinzi wetu wa nchi🤣🤣
IMG_7047.jpeg
 
Pale mahakamani nimeona geti limelegea nitajitolea kulichomelea ili Lissu asije kufanikiwa kutoroka
Bunduki zote zile alizoelekezewa na msafara wa askari anaanzaje kutoroka😄😄
 
huna haja ya kuropoka ikiwa huna uelewa wala ufahamu wa kutosha dhidi ya sheria na makosa ya uropokaji yanayomuandama huyo muungwana korokoroni.

ni muhimu kua mtulivu na mstaarabu, utaratibu anaodai mtuhumiwa haupo kulingana anavyotaka yeye.

in fact mropokaji anaonyesha kujutia uropokaji wake 🐒
Nimekuuliza, mambo ya kuropoka yako huko kwenu ccm ukiwemo wewe unategemea ugali na nimeshakwambia nitakupa kazi ya kuja kusafisha vyoo vyangu. Mtaifuta hiyo kesi kutaka msitake halafu uje na maneno mengine ya kishoga maana kila kitu huamini upumbavu wa kwenye hicho kichwa chako kibovu. Endapo mtamshinda Lissu lazima nikutumie pesa za kujitahidi kuandika ujinga humu ili utafutie watoto wako dagaa.
 
Hawa ndio walinzi wetu wa nchi🤣🤣View attachment 3371265
Taabu tupu- ngoja siku waje wakumbane na Ayatolah Mwenyewe au Israel mtoa roho- lazima wajifungue kwenye Bunkwer tu. Hiyo bunduki yenyewe ni ile ya mwaka 1947. CCM na serikali, acheni kuwasumbua vijana wetu na hizi kesi za michongo. Chondechonde tafadhari
 
Back
Top Bottom