GE2025 Kesi ya Uhaini ya Lissu yaahirishwa tena Mahakama ya Kisutu, hadi Julai 30, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Write your reply...lissu ni kama mpanzu yaani machachari lkn hamna kitu hahaha
 
Raisi Samia ana roho nzuri sana, hana ubaguzi na ameleta utulivu wa kisiasa hapa nchini, kila mtu sasa ana amani na ni ruksa kumkosoa raisi.

Aliskika chawa mmoja baada ya kuvimbiwa asali.
 
"Wamemeza Nduano" by Amani Golugwa 2025
 
Idd Amin Dada kazi anayo,huku Slow kampiga barua, mahakamani mabalozi macho na masikio hayapitwi na neno la kupeleka kwa wachangia bakuli.Hivi hawezi kumwamrisha Manywele awafanyie yale walifanyiwa Mwangi na Agatha? Au awatimue kama Martha Karua? Au niache niache ujinga🤣
 
Kwaajili ya ustawi wa nchi hi hawa wote wanaofanya kupindua sheria makusudi sbb ya rushwa na kuficha maovu yao siku upinzani ukishka dola itungwe sheria kali wahusika km hao wanyongwe iwe funzo kwa jamii yote na ijayo
 
In fact,
kwasabb ya uropokaji, ubishi na maneno mengi yasioyohusiana na kesi mahususi,

muungwana ataeleza madai mengine kabisa na kupoteza muda wa mahakama na kisha atarudishwa korokoroni kama kawaida hadi wakati mwingine 🐒
Sijui kwanini mashetani ya akili za kijinga jinga.
 
Kweli ila mwamba anaongea siasa yaani harakati nasio sheria ..uoni ilo mkuu?
Unajua Sheria gani wewe kumzidi Lisu?. Anaongea Siasa?. mbona mpaka Leo mnajambiana tu kuleta ushahidi?. Nyinyi ndiyo mnaleta siasa. Hiyo kesi kashawapiga kitambo tu kwa wanaojua sheria.hata kufungua msingefungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…