GE2025 Kesi ya Uhaini ya Lissu yaahirishwa tena Mahakama ya Kisutu, hadi Julai 30, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Chadema, wanashindwa kuweka mtiririko wa kesi hii kwenye maandishi, kuruhusu hadhira kubwa ijue?

Ilipaswa kurugenzi ya mawasiliano ya Chadema, iliyopo mahakamani kuandika kesi kwenye maandishi, watu wafuatilie. Kurusha kwenye mitandao ya kijamii, sio kila mtu anatazama ma video, ambayo hayana hata mtiririko, yamekatwa vipande kutengeneza habari.

Ma video, tunayaona, hayana mtiririko. Yaani huwezi jua mwenendo, umeendaje. Nani kasema nini, saa ngapi

Kesi ya Mbowe, kulikuwa na mtiririko mzuri, wa video na maandishi.
 
Angalia ITV mkuu au online Tv mbali mbali wakati wa Mbowe hakukuwa na matangazo ya live.
 
Chama cha walopokaji
 
Matumiz mabaya ya Pesa za umma kuendesha kesi kama kikoba cha week.
 
Mimi mwenyewe nimewai kushitakiwa zaidi ya mara tatu sikumuweka wakili na jesi zote nikazishinda.
Ulishtakiwa kwa kosa la uhaini au uchochezi dhidi ya kijiji gani hicho ndugu yangu, pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…