GE2025 Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi Agosti 13,2025

GE2025 Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi Agosti 13,2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Leo Tundu Lissu kamtolea uvivu Hakimu Mfawidhi Franco.

Ukweli ni lazima usemwe mahali popote; hiyo ndiyo heshima ya nchi.

Takataka zote hizi zitafagiliwa mbali na taifa letu litarudi kwenye msimamo sahihi.
 
Yupo yatima sasa,anajitetea mwenyewe kizimbani,anakata mawimbi yeye binafsi, August serekali yetu imuachie huru chonde chonde!
Usilolijuwa.

Serikali yenu imempa jukwaa muhimu sana kuliko mlivyo juwa.
Hatua hii mtaijutia sana hivi karibuni.
 
Hyo video ni effects za Kuona Kila anachofanya CHADEMA wanasema anacopy hoja zetu kama sio hoja Yao basi wanapinga sio sawa ndio akaona huo ni ujinga ndio sababu ya kuona upinzani hauna maana
"Effects" gani?

Hivi ulisoma ulichoandika kabla hujareply?
Kuoneshana kuwa alikuwa tayari kufanya kazi na upinzani na kufuta CCM na kuleta chama kipya ni pale alipoamua kuleta mtu kutoka chama chochote na Kuona anamawazo chanta anampa wizara, au udc hata nafasi nyeti ndani ya CCM.
Magufuli alionyesha nia gani kufanya kazi na upinzani?

Aliyemwambia Ndugai wewe washughulikie huko ndani na mimi wakitoka nje huku nitawashughulikia ni alikuwa nani?
Kwa lugha nyingine mie Nina kadi ya CHADEMA kuhusu Magufuli aisee usimseme vibaya yule Mzee kafanya mengi na makubwa kwenye taifa hili
Mimi nimekuuliza habari za wewe kuwa na kadi ya CHADEMA?

Mengi ndio kafanya ikiwemo mauaji ya Ben Saanane , Leopold Lwajabe, Azory Gwanda na wengineo wengi.

Hata shambulizi la Lissu lilitokea utawala wake mtu kushambuliwa katika makazi ya serikali kwa risasi 32 na hadi leo ni miaka 8 hakuna aliyeshitakiwa kwa tukio hilo.
 
CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lenye nguvu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
 
Back
Top Bottom