GE2025 Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi Agosti 13,2025

GE2025 Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi Agosti 13,2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
BUNGE LIMEVUNJWA TAYARI KWA BARUA MAALUM YA SEREKALI,HIVYO --NRNE--IS NON FUNCTIONAL,HAKUNA KITU YA AINA HIYO MLIYOKUWA MKITEGEMEA TUKUTANE 2030,PANAPO MAJALIWA,KARIBUNI CHAUMMA,MGOMBEE NAFASI MBALI MBALI KABLA MILANGO HAIJAWEKWA KOMEO!
1753866776193.jpg
 
I hope by the grace of our faithful lord of lord, in miraculous way lissu atakuwa huru tena 13,August,but kwa upendo mkubwa awe chini ya prohibition maalum,has juu ya domo lake hasa katika kuropoka,lissu ni kiongozi wa chama,anao wafia chama chake,hivyo kuchunga kauli zake hatarishi ni muhimu sana,namuumbea mungu aachiwe lakini awe chini ya uangalizi maalumu.
 
Tarehe 4th August Jaji atakuwa safari hadi 7 Sept 25.
Kwa hiyo shauri la leo Kisutu ni Lazima nisubiri shauri kubwa la kuwakinda hawa mashahidi ni muhimu kwanza.

Over !! Hizi ndizo mahakaza zetu na hawa ndiyo majaji na mahakimu wetu.

Reforms ni LAZIMA zipite na huku ili kuwapa haki zote wanazostahiki washitakiwa.
 
Hamna kitu CHADEMA wanajutia kama kutoshirikiana na Magufuli kuijenga hii nchi Magufuli alifungua mlango wa kushirikiana na wapinzani ndio hapo neno la maendeleo hayana chama lilipozaliwa.
Aliyewaambia Tunduma mkiniletea wapinzani maji msahau maana sitoleta sitaki kuchanganyiwa betri na magunzi alikuwa nani?

Mnafikiri tumesahau aliyesema wapinzani wanachelewesha maendeleo , katengeneza bunge kibogoyo ni kijani tupu leo deni ni trilioni 107 bi Mwenda akisemwa tu naye anakutimua.


View: https://youtu.be/xjJ1nLDvm9k?si=1Ur0Aq9WWySiKA52
 
Hivi hakuna wachawi wa kuwaroga hawa mawakili wapumbavu wakafa wao na familia zao? wale wachawi wa Sumbawanga na Songwe kazi yao ni ipi? tuwachangie wawa uwe hawa wapumbavu
 
Back
Top Bottom