Mimi ni muumini wa Migomo usipowagomea hawa wajinga wataendelea kusumbua Sana hii nchi.Tundu hajali mambo yake hinafsi...anaeweka misingi ya sheria sawa kwa vizazi vijavyo. He knows very well what is going on
Hatuna chakufanya ndugu yangu.....Binadamu akikuamulia hutoboi.Kuna jambo kubwa sana la kujifunza kupitia kesi hii ya kihistoria.
Mchakato wa Haki Jinai wa Tanzania (Criminal Justice System) kutumiwa vibaya huku waTanzania tukikubali iwe hivyo.
View attachment 3424512![]()
PreGE2025 - Tundu Lissu asafirishwa kupelekwa Dar baada ya kukamatwa Mbinga
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu anayeshikiliwa na polisi mkoani Ruvuma yupo njiani kusafirishwa kwenda jijini Dar es Salaam. Lissu anayedaiwa kushikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma jana Jumatano Aprili 9, 2025 muda mchache...www.jamiiforums.com
Mbinga Ruvuma Tanzania
View attachment 3424513
Qmmk!ni salama kwa nchi hasa kipindi hiki kukiwa na vuguvugu la uchaguzi
amani ya nchi haina mbadala
Kaka wasio elewa Magufuri alikua mtu wa namna gani, hawatakuelewa.Hamna kitu CHADEMA wanajutia kama kutoshirikiana na Magufuli kuijenga hii nchi Magufuli alifungua mlango wa kushirikiana na wapinzani ndio hapo neno la maendeleo hayana chama lilipozaliwa.
AmeenOur true hero TALView attachment 3424328
Hawawezi kujaribu kumpa form wanajua wataaibika. After all no electionsAtashinda Tu hata akiwa rumande, labda watafute kisinginzio cha kushindwa kujaza fomu, kama wakimzui ukipata hiyo fomu.
Nikweli walipozuia asionanr na ndugu na mawakili wake alitishia kugomea Kula, the next Day wakaruhusu.Mimi ni muumini wa Migomo usipowagomea hawa wajinga wataendelea kusumbua Sana hii nchi.
Adv Nassor karelax kabisa wala hana wasi wasi.....hii dunia hii wacha tupite tu.Hii ni abuse ya mahakama.
Ni abuse ya haki nchini.
Tundu Lissu utamchukia tu kwa kuwa Anajua zaidi yako. Hana Baya Huyu Jamaa. Hata ukimtafutia angle yoyote humpati. He is real briliant
Poa bi kidude 😂Tulia bi mkubwa!!