Hyo video ni effects za Kuona Kila anachofanya CHADEMA wanasema anacopy hoja zetu kama sio hoja Yao basi wanapinga sio sawa ndio akaona huo ni ujinga ndio sababu ya kuona upinzani hauna maana
Kuoneshana kuwa alikuwa tayari kufanya kazi na upinzani na kufuta CCM na kuleta chama kipya ni pale alipoamua kuleta mtu kutoka chama chochote na Kuona anamawazo chanta anampa wizara, au udc hata nafasi nyeti ndani ya CCM.
Mimi nimekuuliza habari za wewe kuwa na kadi ya CHADEMA?
Mengi ndio kafanya ikiwemo mauaji ya Ben Saanane , Leopold Lwajabe, Azory Gwanda na wengineo wengi.
Hata shambulizi la Lissu lilitokea utawala wake mtu kushambuliwa katika makazi ya serikali kwa risasi 32 na hadi leo ni miaka 8 hakuna aliyeshitakiwa kwa tukio hilo.