Tetesi: Kesi ya utekaji na mauaji dhidi ya Makonda yanukia

Jinai haifi ndugu zangu, hata ikipita karne nzima. Makonda bado anafuatiliwa na jinamizi la kesi za utekaji na mauaji

Ndugu, jamaa, na marafiki wa waathirika pamoja na waathirika wenyewe wa madhila haya yaliyofanywa na Makonda wako hatua za mwisho kabisa kufungua mashitaka dhidi ya Makonda.

Ktk maelezo yao wamesema wamewaelekeza wanasheria wao kukusanya ushahidi wa kutosha ikiwa ni pamoja na kuomba ushahidi kutoka serikali ya Marekani utakaosaidia kumtia hatiani ndugu Makonda.

Itakumbukwa kuwa serikali ya Marekani imempiga marufuku Makonda kukanyaga nchini humo kwa kile ilichokiita " makosa ya kudhulumu haki ya watu kuishi".

My take.
Mtu anayedhulumu haki ya watu kuishi ktk sheria za kimataifa ana tofauti ndogo sana na gaidi. Tusije kushangaa kuona Makonda akikamatwa na FBI huko Arusha.
Hapo Arusha upo pande ipi wewe MDUDU?
 
Hakika, na akamatwe haraka
 
Nonsense
 
Je ikiwa hivyo wana arachuga watashiriki ukamataji huo😁
 
Duh 🙄 !
 
Tatizo nyie jamaa Huwa hamfikirii Kwa kina!

Unakumbuka kesi ya Musiba na Membe!!?
Unakumbuka Mzee Pengo alimuomba Membe amsamehe Musiba mnakumbuka!!?

Membe akashupaza shingo Nini kilimtokea!!?

Ule mnaouita ujinga wa Cyprian Musiba ulifanywa Kwa baraka ya wenye mamlaka ya nchi hii!!

Hiyo teka Teka ya makonda kama ni ya kweli ilikua Teka Teka ninaamini haikufanywa Kwa utashi wa makonda bali utashi wa wenye mamlaka na wenye mamlaka wanajua kwanini walimtuma!

Ngoja tuone na hili litakuaje!!
Ngoja Tusubiri tuone. !
 
Mnakaririshwa tu kama Kasuku ila uthibitisho wowote wa uhusika wa Makonda hamna.

Kwa hiyo kwa sasa watu hawapotei na hakuna maiti zinaokotwa?
Zimeokotwa lini kwenye viroba siku za karibuni bwana ng'ombe?
 
Tatizo nyie jamaa Huwa hamfikirii Kwa kina!

Unakumbuka kesi ya Musiba na Membe!!?
Unakumbuka Mzee Pengo alimuomba Membe amsamehe Musiba mnakumbuka!!?

Membe akashupaza shingo Nini kilimtokea!!?

Ule mnaouita ujinga wa Cyprian Musiba ulifanywa Kwa baraka ya wenye mamlaka ya nchi hii!!

Hiyo teka Teka ya makonda kama ni ya kweli ilikua Teka Teka ninaamini haikufanywa Kwa utashi wa makonda bali utashi wa wenye mamlaka na wenye mamlaka wanajua kwanini walimtuma!

Ngoja tuone na hili litakuaje!!
Kwa hiyo kuishi kwa Makonda ni baraka ya wenye mamlaka???Na kufa kwa Membe ni laana ya wenye mamlaka???Shit.
 
Jinai haifi ndugu zangu, hata ikipita karne nzima. Makonda bado anafuatiliwa na jinamizi la kesi za utekaji na mauaji

Ndugu, jamaa, na marafiki wa waathirika pamoja na waathirika wenyewe wa madhila haya yaliyofanywa na Makonda wako hatua za mwisho kabisa kufungua mashitaka dhidi ya Makonda.

Ktk maelezo yao wamesema wamewaelekeza wanasheria wao kukusanya ushahidi wa kutosha ikiwa ni pamoja na kuomba ushahidi kutoka serikali ya Marekani utakaosaidia kumtia hatiani ndugu Makonda.

Itakumbukwa kuwa serikali ya Marekani imempiga marufuku Makonda kukanyaga nchini humo kwa kile ilichokiita " makosa ya kudhulumu haki ya watu kuishi".

My take.
Mtu anayedhulumu haki ya watu kuishi ktk sheria za kimataifa ana tofauti ndogo sana na gaidi. Tusije kushangaa kuona Makonda akikamatwa na FBI huko Arusha.
MPANGO DUNI WA CHADEMA KATIKA KULIOKOA JIMBO LA ARUSHA!,
# UTOTO HUU.
 
Back
Top Bottom