hio sio shida tena Kwa mahabah niliyonayo naona kama vile kuacha ela nikumtesa mwanamke nitakuwa naenda kuemea mwenyewe yeye Kaz yake ni kuniambia vinavyo hitajika tuYote hayatonishinda,ila 2 sasa....utakuwa unaacha hela ya kutosha pia�
Wooow! π₯΅Tuoane kesho bas,eti?! Hv kesho ni alhamisπ€¦damn...iwe jumamos bas,eti? π .....ukija pata mwanamke ana haraka na ndoa kias hiki ujue anataka maonyesho tu.Mungu awapambanie vijana wa kiume mliotulia ...mapenz ni shida sikuhiz Patra31hio sio shida tena Kwa mahabah niliyonayo naona kama vile kuacha ela nikumtesa mwanamke nitakuwa naenda kuemea mwenyewe yeye Kaz yake ni kuniambia vinavyo hitajika tu
tena hapo unakuta wana behave kimalaika kabisa kama sisi masingle father utasikia wanatwambia "honey uoni binti yetu kakua inabidi tumtaftie mdogo wake asiwe mpweke"πππ jichanganye sasa hapo uone moto.Wooow! π₯΅Tuoane kesho bas,eti?! Hv kesho ni alhamisπ€¦damn...iwe jumamos bas,eti? π .....ukija pata mwanamke ana haraka na ndoa kias hiki ujue anataka maonyesho tu.Mungu awapambanie vijana wa kiume mliotulia ...mapenz ni shida sikuhiz Patra31
Ukikaa poa nishtue bas tuunganishe mitambotena hapo unakuta wana behave kimalaika kabisa kama sisi masingle father utasikia wanatwambia "honey uoni binti yetu kakua inabidi tumtaftie mdogo wake asiwe mpweke"πππ jichanganye sasa hapo uone moto.
Ngoja kwanza mm niendelee kujipanga tu
AyaUkikaa poa nishtue bas tuunganishe mitambo
Poa
Wewe unadhani upande upi unachukua asilimia kubwa, wa kukatisha tamaa au wa kumfanya mtu aingie amejiandaa kutatua changamoto?Kwa upande mmoja ukitazama ni hivyo ila kwa upande mwingine inakatisha tamaa, mtu anaona ni kama ndoa haina thamani tena maana watu wanaingia na kutoka ovyo, lakini pia mtu anaweza kuingiwa na uwoga kuwa huko kwenye ndoa kuna nini hadi watu wanatoka spidi wakati waliingia kwa hiari
Nimegundua kwamba wewe huna hoja yeyote, unasubiria tu kumsifia mama D.Haya mambo huyawezi wewe hahahaha
Umepita mulemule π Nangoja mama D aandike kitabu, nikuletee hutajuta walaNimegundua kwamba wewe huna hoja yeyote, unasubiria tu kumsifia mama D.
Angalia umri wa hao wanandoa, haukuwa umri wa kuwa kwenye ndoa, huo ni umri wa kuwa shuleni.
Sawa, tuko pamoja kiongozi.Umepita mulemule π Nangoja mama D aandike kitabu, nikuletee hutajuta wala
Mjuni Lwambo una ugomvi wewe..... mbona unamnanga mwenzio π π π π πNimegundua kwamba wewe huna hoja yeyote, unasubiria tu kumsifia mama D.
Mimi najuaga Jasmoni Tegga hunaga konakonaUmepita mulemule π Nangoja mama D aandike kitabu, nikuletee hutajuta wala
Hata sijuiWewe unadhani upande upi unachukua asilimia kubwa, wa kukatisha tamaa au wa kumfanya mtu aingie amejiandaa kutatua changamoto?
Hiko kitabu ntampelekea akisome mama D . Na kwa vile tuna uwakilishi Ikulu now itakuwa rahisi sana kukipromotMjuni Lwambo una ugomvi wewe..... mbona unamnanga mwenzio π π π π π
Mimi najuaga Jasmoni Tegga hunaga konakona
Anakusifia mno bhana, hata kama hoja zako hazina mashiko yeye anasifia tu..Mjuni Lwambo una ugomvi wewe..... mbona unamnanga mwenzio π π π π π
Mimi najuaga Jasmoni Tegga hunaga konakona
Hicho kitabu kinahusu ndoa au biblia? I am afraid i wont get time to read it, my reading schedule is almost oversize!Hiko kitabu ntampelekea akisome mama D . Na kwa vile tuna uwakilishi Ikulu now itakuwa rahisi sana kukipromot
You are welcome!Hata sijui
Dah....nadhani hii Vita ya Ukraine inahusika kwa 100% ππππWatu wamekuwa wajuaji sana au shida ni gani!!!