Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani akizaa kabla ya talaka atachukukiwa hatua gani kisheria?Mathala ya muda yanamgharimu zaidi mwanamke kwasababu ya menopause endapo atahitaji kuzaa tena katika maisha yake
Siyo hoja msingiKwa nini aende mahakamani?Si ajiondokee tu?Majizi na madhulumati tu hayo.
Akizaa anaonekana kazaa inje ya ndoa ambalo ni kosa kwa mujibu sheria ya ndoa mke kuzaa na mwanaume mwingine ikiwa bado anandoaSi wameshaachana?Mwenzake kaoa wake wengine huko,yeye katulia anasubiri karatasi.Na yeye azae,karatasi itamkuta.
Ni kosa kwa mujibu wa sheria ya ndoa pia endapo maamuzi ya mahakama yakitoka yanaweza kumnyima mama haki ya kulea watoto kwa kutambulika ni kahaba hivyo hastahili kulea watoto (kasodi ya watoto ananyimwa) pamoja na haki zingine hapewiKwani akizaa kabla ya talaka atachukukiwa hatua gani kisheria?
Tangazo lipi na nani kaagizaSasa Hivi Imeagizwa Siku 30 Ziwe Zimeisha
Akizaa anaonekana kazaa inje ya ndoa ambalo ni kosa kwa mujibu sheria ya ndoa mke kuzaa na mwanaume mwingine ikiwa bado anandoa
Halafu huo muda wa kuchelewesha kesi hao watu waendelee kuzini tu au!?Jambo wengi wasilolijua ni kuwa Mahakama yenyewe huwa haitaki kutoa talaka, talaka si amri ya kujivunia kwa Hakimu au Jaji yoyote. Ndio maana wanavuta muda kwanza.
Ishu za uhalifu dhidi ya binadamu kuna kitu kinaitwa amri ya utengano (separation order) hii ikiombwa inasaidia kuepusha mtu upigwa matukio yakusisimua.
Ndiyo maana nikasema Anayeathilika ni mwanamke ambaye akipata mimba tumbo linaonekana hadi mahakamani kwa ushahidiIsipokuwa wanaume wenyewe ndio wanaruhusiwa kuzaa nje ya ndoa ?
Kwao sio kosa?
Kesi nyingi sana mahakamani zinapigwa danadana lakini wanandoa washatengana!Huwa simuelewi mwanaume anayemtetea mwanamke
Na aliyekimbilia mahakamani kuomba talaka ni mwanaume au mwanamke?
Mahakama lengo lake si kubomoa bali ni kujenga ushahidi usio shaka ukionyeshwa sawa kwa huo muda hata kama ni miaka haki itapatikana tu mambo ya madhara upande wa mke hauihusu mahakama na mahakamani kaenda mwenyewe sio mahakama ilimuomba aende asiipangie muda
Mwanaume kuzaa nje ya ndoa si kosa?Akizaa anaonekana kazaa inje ya ndoa ambalo ni kosa kwa mujibu sheria ya ndoa mke kuzaa na mwanaume mwingine ikiwa bado anandoa
Ni kosa lakini ushahidi wake ni mgumu ...kuliko mwanamke anaeonekana na tumbo liveee halafu mahakamani itasomeka kazaa inje ya ndoa hivyo ni kahaba hastahili hakiMwanaume kuzaa nje ya ndoa si kosa?
Umalaya tu Unawasumbua.Madhala ya muda yanamgharimu zaidi mwanamke kwasababu ya menopause endapo atahitaji kuzaa tena katika maisha yake
As far as sijaua ,sijaiba na siku hizi si lazima uto mbane ndo upate mimba. Kusema ukweli kama ninahitaji mtoto nitakwenda zangu Muhimbili nitafanya artificial insemination za mtu donner asiyejulikana na kujipatia mimba.Liwalo na Liwe.Imagine nina miaka 46 labda,ya nini kujuta baadae?Ni kosa lakini ushahidi wake ni mgumu ...kuliko mwanamke anaonekana na tumbo liveee
Hakimu/Jaji atoe talaka chapu halafu baada ya muda uwakute wazinzi wawili wameshikana mikono huku mwanamke mjamzito.Halafu huo muda wa kuchelewesha kesi hao watu waendelee kuzini tu au!?
Ukweli tu usemwe mahakama inachangia uhalifu kwa uzembe!
Miezi mitatu hata sita inatosha kesi za talaka kuwa zimeondolewa au kumalizika...maisha yaendelee!
Una watoto wa kike? Au ukoo wenu hauna wanawake? Jifunze kuheshimu binadam mkuu!Umalaya tu Unawasumbua.
Kwahiyo Mnaomba Talaka Ili Mzae Au Ili Muwe Huru Kuzaa?