Kesi za talaka zizingatie muda kwenye kutoa hukumu kuepusha ukatili dhiki ya mwanamke

Kesi za talaka zizingatie muda kwenye kutoa hukumu kuepusha ukatili dhiki ya mwanamke

Kinachowasumbua Wanawake Wengi Wanaishi Kwa Kutizama Mali Zaidi Na Siyo Upendo.
Binafsi kama upendo haupo, siangalii mali.Ninaondoka na wala sisubiri talaka.Tena ninamuachia kila kitu.
 
Una watoto wa kike? Au ukoo wenu hauna wanawake? Jifunze kuheshimu binadam mkuu!
Tofauti za kibinadam zisimyime haki binadam mwenzako
Watoto wa kike Ninao .
Ila Mimi Siyo Muumini Wa Talaka.
Ndoa Nyingi Zinavunjika Kwa Sbb Ya Tamaa Ya Mali.
Ujuaji Umekuwa Mkubwa Sana Siku Hizi.
Siungi Mkono Utengano.
 
Binafsi kama upendo haupo, siangalii mali.Ninaondoka na wala sisubiri talaka.Tena ninamuachia kila kitu.
Kuondoka siyo hoja, hoja ni kwamba kokote uendako utabakia kuhesabika mke wa nani kisheria? Haki za watoto zinamalizwaje?
Yote hayo huamuliwa mahakamani! Yanapocheleweshwa yanaathili zaidi mwanamke na watoto
 
Watoto wa kike Ninao .
Ila Mimi Siyo Muumini Wa Talaka.
Ndoa Nyingi Zinavunjika Kwa Sbb Ya Tamaa Ya Mali.
Ujuaji Umekuwa Mkubwa Sana Siku Hizi.
Siungi Mkono Utengano.
Watu wanauana kwenye ndoa kwa vipigo na matukio makubwa! Huungi mkono talaka unamaanisha waishi humohumo hata kama kuna hatarisha maisha!?

Utajisikiaje dadako ukapewa taarifa kauwawa na mmewe wa ndoa?
 
Binafsi kama upendo haupo, siangalii mali.Ninaondoka na wala sisubiri talaka.Tena ninamuachia kila kitu.
Safi Kabisa.Hakuna Haja Yakusumbuana Mahakamani
Nakumuweka Ibilisi Karibu.
Nakupongeza kwa Hilo
Naweza Mpa Binti Yangu Ushauri Kama huo.
Kesi Na Talaka Ni Mpango Wa Shetani Siuungi Mkono Ata Kidogo.
Ebu Fikiri Unampeleka Mumeo Au Mkeo Mahakamani .uko Najua Kunakuongea Ukweli Na Uongo Mwingi.Na Wakati Huo Tayari Ni Mzazi Mwenzako.
Unafikiri Unatengeneza Kizazi Cha Namna Gani.
Watu Wanalalamika Watoto wa Leo Hawasiki Wala Hawaonyeki.
Kumbe Tatizo Limeanza Kwa Wazazi.
Binadamu Asiye Jua Kusamehe Siyo Rafiki Kwangu Ata Kidogo.

Hivi Visheria Mnavyojifunza Visiwaondolee Utu Wenu.Nakijiona Mnaweza Fanya Lolote.
Tambueni Kuna Roho Zinazoishi Na Nyie Na Hazipendezwi Namagomvi Na Kesi.
 
Watu wanauana kwenye ndoa kwa vipigo na matukio makubwa! Huungi mkono talaka unamaanisha waishi humohumo hata kama kuna hatarisha maisha!?

Utajisikiaje dadako ukapewa taarifa kauwawa na mmewe wa ndoa?
Wewe unataka uharaka wakutolewa Talaka ili Dada Yako Akaolewe Tena.
Yaani Unataka Kula Mahari Ya Pili Fasta.
Mahakama inapotoa Muda Wa Utengani siyo Wajinga Inatambua Nguvu Iliyopo Katika Wazazi.
Hakuna Kitu Kizuri Duniani Kama Muda.Yaani Wewe Unataka Dada Yako Akujazie Watoto wa Kila Kabila Kwenye Ukoo Wenu.
Mjomba Wewe Una shida Siyo Bure.
Yaani Dada Yako Ametoka Kwa Mume Mwezi Tu Unataka Azae Na Mwanaume Mwingine.
Kwa Lugha Sahihi Sisi Kama Jamii Tunasema huyo Mwanaume Ndiyo Chanzo Chakuvunjika Ndoa Yake.
Yaani Alikuwepo Wakati Ndoa Ikiwa Hai
 
Ziko taratibu za awali kwa ajili ya usuruhishi, yapo mabaraza ya usitawi ngazi ya mtaa, kata hadi wilaya, yapo mabaraza ya dini na ukoo kwa ajili ya kazi ya usuruhishi!
Mahamani wanakweda watu waliopitia hatua zote za usuruhishi! Sasa kuna sababu gani wasitoe maamuzi wapigishe danadana miaka miwili hata mitano kwa faida ya nani!

Hata kwa akili ndogo tu miaka miwili au mitano lazima hao wanandoa watakuwa wanafanya ngono huko! Sasa kwanini wasipewe haki ya kuachana wakaoe na kuolewa kabla ya menopause kwa wanawake?
 
Kuondoka siyo hoja, hoja ni kwamba kokote uendako utabia kuhesabika mke wa nani kisheria? Haki za watoto zinamalizwaje?
Yote hayo huamuliwa mahakamani! Yanapocheleweshwa yanaathili zaidi mwanamke na watoto
It does not matter, watoto wakiwa wadogo ninaondoka nao na akitaka kuwaona anaruhusiwa,akitaka wakamuone kwake inaruhusiwa.Sheria zipo kwa watu ambao wameshindwa kuelewana wao kwa wao. Mnasubiri hadi Mahakama iwaamulie?Nyie ni watu wazima.Kama nilivyosema sichukui hata kijiko .,Na aking'ang'ania watoto nitamwachia ila nitakuwa ninakuja kuona watoto wangu na wataweza kuja kuniona.Hapa amani ni priority kwangu.
 
Nashukuru kuzaliwa kwenye neema ya Uislamu

Ni raha sanaa
 
Unaelewa lakini utawala wa sheria? Au unaishi alimradi siku zinasonga!?
 
Nashukuru kuzaliwa kwenye neema ya Uislamu

Ni raha sanaa
Waislam wamejitahidi kiasi chake ingawa nako mahakama za kadhi zinapitiwa na shetwan mara moja moja kama ile kesi ya bwana yule iliyopelekea shkhe akatumbuliwa
 
Waislam wamejitahidi kiasi chake ingawa nako mahakama za kadhi zinapitiwa na shetwan mara moja moja kama ile kesi ya bwana yule iliyopelekea shkhe akatumbuliwa
Watu maarufu tu ndo yatatokea kma yale ila kwa ss huku ukiona mambo hayaendi unamwambia tu nimekuacha basi talaka imeshapita na huwezi kuirudisha

Kwann mpigane,muuane hali ya kua njia rahisi kabisa zipo
 
Unamaanisha mini sasa kwamba sheria ipotezewe au
 
Unamaanisha mini sasa kwamba sheria ipotezewe au
No

Sheria ya Uislamu haibadiliki ata iwe kwa mtu gani ila watu kma wale wao hupenda makubwa kma yalivotokea
 
in top ten of stupidest people alive, eight of them are in marriage.....nikanyage mahakamani nenda rudi nenda rudi kisa talaka,...nimerogwa au sina kazi ya kufanya...?
 
NINA UZOEFU NA MAHAKAMA, HASA HIZI KESI ZA TALAKA.
MAHAKAMANI KUNA KESI ZA TAKALAKA ZINACHUKUA MIEZI MIWILI AU MITATU KUISHA! NA ZINGINE ZAIDI YA MIAKA 10!
MAHAKAMANI NI USHAHIDI, TENA USIO NA MASHAKA!
SIO SEHEMU YA KWENDA NA KUANZA SIMULIZI ZA MATESO YA KWENYE NDOA.
KWAMBA UMESIKIA VISA VYA KWENYE NDOA ZA ZA WENGINE HUKO MTANDAONI NA MITAANI ZA UONGO NA KWELI KISHA UKIJIVISHA, UKAONEKANA WEWE NDIO UMETENDEWA.!
WALE WANAO KWENDA HUKO KWA USHAWISHI WA NDUGU NA MARAFIKI, NA MICHEPUKO WANAISHIA KWENDA RUDI KWENDA RUDI KWENDA RUDI.KWA KUKOSA SABABU YA MSINGI.

MFANO:

MWANAMKE UNAKWENDA KUOMBA TALAKA KWA SBB YA VIPIGO VYA MARA KWA MARA TOKA KWA MUME:
1.JE UMEWAHI PELEKA MALALAMIKO KWA WAZAZI? USTAWI? DAWATI LA JINSIA? POLISI? KANISANI?BAKWATA?WASIMAMIZI WA NDOA? WASHENGA?
2.JE UMEWAHI TIBIWA HOSPITALI AU KULAZWA KWA SBB YA KIPIGO? JE UNA ALAMA/MAKOVU YA KUPIGWA?
3.JE KUNA WATU WALIOTAYARI KUTHIBITISHA VIPIGO JUU YAKO? JE NI WATOTO? WASAIDIZI WA KAZI ? WANAFAMILIA WENGINE?
4.JE SABABU YA VIPIGO NI NINI? UWE TAYARI KUSEMA.

SASA WEWE BEBA MIZIGO YAKO, ONDOKA NDANI YA NDOA NENDA KAPANGISHE CHUMBA.
KISHA NENDA KADAI TALAKA MAHAKAMANI HUKU UKIWA HUNA MAJIBU KAMILI YA MASWALI HAYA MANNE.
HUO UTAKUA MWANZO WA SAFARI ISIYO NA MATUMAINI.

KABLA YA KUDAI NA KWENDA MAHAKAMANI, ANZA KUTENGENEZA USHAHIDI.
MESEJI, AUDIO, VIDEO, PICHA, VIKAO VYA USURUHISHI, NK NK.
ULIZA ULIZA KWA WANASHERIA JUU YA SHAURI/MADAI YAKO(KUNA JUKWAA LA SHERIA HAPA), UPATE KUJUA ZAIDI.
USIEGEMEE ZAIDI KWA TAFSIRI ZA SHERIA ZA MITAANI. UTAUMIA
Wewe umesema kweli kabisaaaaa bila shaka lolote lile
 
in top ten of stupidest people alive, eight of them are in marriage.....nikanyage mahakamani nenda rudi nenda rudi kisa talaka,...nimerogwa au sina kazi ya kufanya...?
Duh! Hii koment kiboko
 
Back
Top Bottom