Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Binafsi kama upendo haupo, siangalii mali.Ninaondoka na wala sisubiri talaka.Tena ninamuachia kila kitu.Kinachowasumbua Wanawake Wengi Wanaishi Kwa Kutizama Mali Zaidi Na Siyo Upendo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi kama upendo haupo, siangalii mali.Ninaondoka na wala sisubiri talaka.Tena ninamuachia kila kitu.Kinachowasumbua Wanawake Wengi Wanaishi Kwa Kutizama Mali Zaidi Na Siyo Upendo.
Watoto wa kike Ninao .Una watoto wa kike? Au ukoo wenu hauna wanawake? Jifunze kuheshimu binadam mkuu!
Tofauti za kibinadam zisimyime haki binadam mwenzako
Kuondoka siyo hoja, hoja ni kwamba kokote uendako utabakia kuhesabika mke wa nani kisheria? Haki za watoto zinamalizwaje?Binafsi kama upendo haupo, siangalii mali.Ninaondoka na wala sisubiri talaka.Tena ninamuachia kila kitu.
Watu wanauana kwenye ndoa kwa vipigo na matukio makubwa! Huungi mkono talaka unamaanisha waishi humohumo hata kama kuna hatarisha maisha!?Watoto wa kike Ninao .
Ila Mimi Siyo Muumini Wa Talaka.
Ndoa Nyingi Zinavunjika Kwa Sbb Ya Tamaa Ya Mali.
Ujuaji Umekuwa Mkubwa Sana Siku Hizi.
Siungi Mkono Utengano.
Safi Kabisa.Hakuna Haja Yakusumbuana MahakamaniBinafsi kama upendo haupo, siangalii mali.Ninaondoka na wala sisubiri talaka.Tena ninamuachia kila kitu.
Wewe unataka uharaka wakutolewa Talaka ili Dada Yako Akaolewe Tena.Watu wanauana kwenye ndoa kwa vipigo na matukio makubwa! Huungi mkono talaka unamaanisha waishi humohumo hata kama kuna hatarisha maisha!?
Utajisikiaje dadako ukapewa taarifa kauwawa na mmewe wa ndoa?
Ziko taratibu za awali kwa ajili ya usuruhishi, yapo mabaraza ya usitawi ngazi ya mtaa, kata hadi wilaya, yapo mabaraza ya dini na ukoo kwa ajili ya kazi ya usuruhishi!Wewe unataka uharaka wakutolewa Talaka ili Dada Yako Akaolewe Tena.
Yaani Unataka Kula Mahari Ya Pili Fasta.
Mahakama inapotoa Muda Wa Utengani siyo Wajinga Inatambua Nguvu Iliyopo Katika Wazazi.
Hakuna Kitu Kizuri Duniani Kama Muda.Yaani Wewe Unataka Dada Yako Akujazie Watoto wa Kila Kabila Kwenye Ukoo Wenu.
Mjomba Wewe Una shida Siyo Bure.
Yaani Dada Yako Ametoka Kwa Mume Mwezi Tu Unataka Azae Na Mwanaume Mwingine.
Kwa Lugha Sahihi Sisi Kama Jamii Tunasema huyo Mwanaume Ndiyo Chanzo Chakuvunjika Ndoa Yake.
Yaani Alikuwepo Wakati Ndoa Ikiwa Hai
It does not matter, watoto wakiwa wadogo ninaondoka nao na akitaka kuwaona anaruhusiwa,akitaka wakamuone kwake inaruhusiwa.Sheria zipo kwa watu ambao wameshindwa kuelewana wao kwa wao. Mnasubiri hadi Mahakama iwaamulie?Nyie ni watu wazima.Kama nilivyosema sichukui hata kijiko .,Na aking'ang'ania watoto nitamwachia ila nitakuwa ninakuja kuona watoto wangu na wataweza kuja kuniona.Hapa amani ni priority kwangu.Kuondoka siyo hoja, hoja ni kwamba kokote uendako utabia kuhesabika mke wa nani kisheria? Haki za watoto zinamalizwaje?
Yote hayo huamuliwa mahakamani! Yanapocheleweshwa yanaathili zaidi mwanamke na watoto
Unaelewa lakini utawala wa sheria? Au unaishi alimradi siku zinasonga!?It does not matter, watoto wakiwa wadogo ninaondoka nao na akitaka kuwaona anaruhusiwa,akitaka wakamuone kwake inaruhusiwa.Sheria zipo kwa watu ambao wameshindwa kuelewana wao kwa wao. Mnasubiri hadi Mahakama iwaamulie?Nyie ni watu wazima.Kama nilivyosema sichukui hata kijiko .,Na aking'ang'ania watoto nitamwachia ila nitakuwa ninakuja kuona watoto wangu na wataweza kuja kuniona.Hapa amani ni priority kwangu.
Waislam wamejitahidi kiasi chake ingawa nako mahakama za kadhi zinapitiwa na shetwan mara moja moja kama ile kesi ya bwana yule iliyopelekea shkhe akatumbuliwaNashukuru kuzaliwa kwenye neema ya Uislamu
Ni raha sanaa
Watu maarufu tu ndo yatatokea kma yale ila kwa ss huku ukiona mambo hayaendi unamwambia tu nimekuacha basi talaka imeshapita na huwezi kuirudishaWaislam wamejitahidi kiasi chake ingawa nako mahakama za kadhi zinapitiwa na shetwan mara moja moja kama ile kesi ya bwana yule iliyopelekea shkhe akatumbuliwa
Unamaanisha mini sasa kwamba sheria ipotezewe auWatu maarufu tu ndo yatatokea kma yale ila kwa ss huku ukiona mambo hayaendi unamwambia tu nimekuacha basi talaka imeshapita na huwezi kuirudisha
Kwann mpigane,muuane hali ya kua njia rahisi kabisa zipo
NoUnamaanisha mini sasa kwamba sheria ipotezewe au
Shida ni wanawake hukimbilia mahakamani kudai mali na si talaka.Si wameshaachana?Mwenzake kaoa wake wengine huko,yeye katulia anasubiri karatasi.Na yeye azae,karatasi itamkuta.
Wewe umesema kweli kabisaaaaa bila shaka lolote lileNINA UZOEFU NA MAHAKAMA, HASA HIZI KESI ZA TALAKA.
MAHAKAMANI KUNA KESI ZA TAKALAKA ZINACHUKUA MIEZI MIWILI AU MITATU KUISHA! NA ZINGINE ZAIDI YA MIAKA 10!
MAHAKAMANI NI USHAHIDI, TENA USIO NA MASHAKA!
SIO SEHEMU YA KWENDA NA KUANZA SIMULIZI ZA MATESO YA KWENYE NDOA.
KWAMBA UMESIKIA VISA VYA KWENYE NDOA ZA ZA WENGINE HUKO MTANDAONI NA MITAANI ZA UONGO NA KWELI KISHA UKIJIVISHA, UKAONEKANA WEWE NDIO UMETENDEWA.!
WALE WANAO KWENDA HUKO KWA USHAWISHI WA NDUGU NA MARAFIKI, NA MICHEPUKO WANAISHIA KWENDA RUDI KWENDA RUDI KWENDA RUDI.KWA KUKOSA SABABU YA MSINGI.
MFANO:
MWANAMKE UNAKWENDA KUOMBA TALAKA KWA SBB YA VIPIGO VYA MARA KWA MARA TOKA KWA MUME:
1.JE UMEWAHI PELEKA MALALAMIKO KWA WAZAZI? USTAWI? DAWATI LA JINSIA? POLISI? KANISANI?BAKWATA?WASIMAMIZI WA NDOA? WASHENGA?
2.JE UMEWAHI TIBIWA HOSPITALI AU KULAZWA KWA SBB YA KIPIGO? JE UNA ALAMA/MAKOVU YA KUPIGWA?
3.JE KUNA WATU WALIOTAYARI KUTHIBITISHA VIPIGO JUU YAKO? JE NI WATOTO? WASAIDIZI WA KAZI ? WANAFAMILIA WENGINE?
4.JE SABABU YA VIPIGO NI NINI? UWE TAYARI KUSEMA.
SASA WEWE BEBA MIZIGO YAKO, ONDOKA NDANI YA NDOA NENDA KAPANGISHE CHUMBA.
KISHA NENDA KADAI TALAKA MAHAKAMANI HUKU UKIWA HUNA MAJIBU KAMILI YA MASWALI HAYA MANNE.
HUO UTAKUA MWANZO WA SAFARI ISIYO NA MATUMAINI.
KABLA YA KUDAI NA KWENDA MAHAKAMANI, ANZA KUTENGENEZA USHAHIDI.
MESEJI, AUDIO, VIDEO, PICHA, VIKAO VYA USURUHISHI, NK NK.
ULIZA ULIZA KWA WANASHERIA JUU YA SHAURI/MADAI YAKO(KUNA JUKWAA LA SHERIA HAPA), UPATE KUJUA ZAIDI.
USIEGEMEE ZAIDI KWA TAFSIRI ZA SHERIA ZA MITAANI. UTAUMIA
Duh! Hii koment kibokoin top ten of stupidest people alive, eight of them are in marriage.....nikanyage mahakamani nenda rudi nenda rudi kisa talaka,...nimerogwa au sina kazi ya kufanya...?